jamii ya wanafunzi wa vyuo vikuu TZ

XOXOQY

Senior Member
Feb 7, 2011
172
36
habari wanafunzi wenzangu,ni taarifa ya kuwepo kwa site kama jamiiforums ila hii imespecialized kwa wanafunzi wa vyuo tu!site hii imetengenezwa maalumu ilikuunda jamii kubwa wa wanafunzi wa vyuo vikuu tanzania ambapo kama wanafunzi tutakuwa tunajadiliana mambo yanayo tuhusu sisi na taifa letu kwa ujumla,site hii inatoa uhuru kwa kila aliye huru kusema wazi.Katika site hii kutakuwa na shortcut link ya jamiiforums.Karibuni katika kuijenga site yetu hii muhimu.anuani ya site hiyo ni HTTP://WWW.EDUFORUMS.WAPKA.MOBI
 
Back
Top Bottom