Loh!!!hahah ila hawa jamaa sometimes wanazingua kinoma yani.unajikuta umekaa kichwa kimejaa stress mfukoni mia huna kisha simu inaashiria message kuingia unajipa moyo labda dili ulizozipanga kuna moja ime tick so muamala umeshafanyika ukifungua sms unakutana na ujinga huu!
I love you jf