siyawezimatatizo
Member
- Apr 29, 2019
- 36
- 25
Ulifanya maamuzi sahihi kuuchukia ualimu. Maana kwa nchi kama Tanzania, walimu wanachukuliwa kama malaika, na pia punching bags wa kila mtu. Kuanzia jamii, wanasiasa, wakuu wao, nk.Baba yangu alikua Mwalimu, ila kupitia yeye nilitokea kuichukia sana kazi ya ualimu Mungu anisamehe, lakini simchukii mwalimu
Mara wote mara isipokuwa!Ualimu ni wito na mteja ni mwanafunzi na kwasababu waalimu hawajitambui watz wanapiga wanafunzi na kuwatukana matusi machafu na kusahahu kuwa ao wanafunzi ndo wateja wao na ndo wanasababisha wao Kupata mshahara, hivyo nahitimisha kwa kusema waalimu wote watz hawajitambui isipokuwa wachache na hawazidi 10%
Ni mwendo wa kulinda zone yako tu.Mtoa mada umeandika kitu kikubwa sana,..Changamoto iliyopo kwa sasa ni mitandao ya kijamii,jambo dogo linakuzwa na mitandao,..wale waliopata elimu miaka ya 2005 kurudi nyuma,tumepigwa sana huko mashuleni lkn hakukua na haya mambo ya matangazo na kelele nyingi,..na hii imetusaidia kuweka hivi tulivyo leo,ukiona mtu amekua bora,jua wazazi na walimu walifanya kazi kumuweka hapo alipo...kwa hali iliyopo sasa walimu kufungwa wasitoe adhabu,tutegemee kizaz cha hovyo miaka ijayo....walimu kwa sasa wamejikatia tamaa,anasema hata mtoto afanye kosa hawez mpa adhabu.
Kuku mweupe popote awapo mwewe humuonaMwalimu ni “kuku mweupe” ukianzia hapo utajijibu maswali mengi mno yakiwamo ya Mpwayungu village linakoendaga li-mshikamano safaris.