Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Je unatumia mtandao wa Jamii forums Tanzania!! , app ya jamii forums leo wamefanikiwa kufanya maboresho kwa kuweza kubadilisha logo Yao ambayo ilidumu kwa muda mrefu sana.
Mtandao wa jamii forums Tanzania ni jukwaa linalowakutanisha watu Mbalimbali na kuweza kupiga Soga, kupeana ushauri kujifunza mambo Mbalimbali kuhusu Nchi ya Tanzania na Dunia kwa ujumla kuanzia siasa, Elimu , afya, michezo , Teknolojia nk.
Mtandao huu Kwa mara ya kwanza ilikua tarehe 13 Mei, 2012 mpaka Sasa umepakuliwa na jumla ya watu milioni moja.
Umefanya update ya Jamii forums Tanzania!!
#jamiiforums #apps #bongotech255