Nakusalimu AfroDenzi Natumai u Mzima Wa Afya Maana nakuona Ulivyo Mchangamfu,
Nimekuona Kwa Picha Nikakuhusudu natumai ki ualisia mpole kama Pichani ''Panafuka Moshi chini kuna Moto''
Hebu ni PM tuwe tunapashana zaidi wenye husda wasijekutuingilia maongezi yetu Nakupa siri yako tu Usimuambia Mwingine Naimekuhusudu.
Mpende akupendae asiyekupenda Mfikirie Pia..
First Lady Mtarajiwa wewe