Hiyo ni screen server tu cha msingi ni mantiki ya forum iwepo
<b>mazee,is that a joke or umekosea jukwaa?</b>
kama ya nani?Mi picha za wadada tu ndio zinanimaliza nguvu!
Wanapenda kujichagulia picha nzuriiii!
bebii,,,kama ya nani?
Kwani we umekuja humu kwenye hili jamvi kujuana na watu? Do ur thing n move on acha mambo ya kujuana hapa
Bebii ni-PM basi maneno mazuri!kama ya nani?
Huyu Bebii bado Yumo si alishaga wana jf?kama ya nani?
<br />kama ya nani?