Jamii forum university

Jamii forum university

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,245
Reaction score
7,723
Mnaweza mkaandaa programs zenye course mbali mbali hapa hapa jf. Mtu akajisajiri na kuchagua course maalum alafu mwisho wa siku anafanya maswali ambayo akifaulu, anapata chet. Akiamu kwenda kuprint ni yeye akikiacha huko huko kwenye profile yake ni yeye.

Ni mawazo tu ambayo nimeona yanaweza yakasaidia watu kuweza kuelewa mambo mengi kwa muda mfupi ambao wanakua mtandaoni badala ya kupiga umbea na kufuatilia story za watu wasio na faida kwenye maisha yao.

@MaxenceMelo
 
Nimekuelewa sana mkuu, hili wazo lisipuuzwe, sio lazima ila mtu kuwa certified nadhani imekaa vizuri sana na mitaala iwe imejikita kwenye reasoning.
 
Kwa ngazi ya certificate, diploma au degree?
Haina haja ya kuziterm kihivyo ziwe ni proficiency courses tu kama vile JamiiForum Certificate of proficiency in web development, Sales Management n.k uongozi wa jamii forum unaweza kuingia makubaliano maalum na member wenye ujuzi na weledi mkubwa wa particular field watakao kuwa wanaandaa articles.... kwani kuna nyuzi nyingi humu ni shule tosha changamoto huwa ni mpangilio tu wa waandishi naamini wakipata mwongozo jamiiforum itakuwa bora kuliko
 
Very good idea,..
Educational psychology and life long learning itakuwa department yangu
 
Mnaweza mkaandaa programs zenye course mbali mbali hapa hapa jf. Mtu akajisajiri na kuchagua course maalum alafu mwisho wa siku anafanya maswali ambayo akifaulu, anapata chet. Akiamu kwenda kuprint ni yeye akikiacha huko huko kwenye profile yake ni yeye.

Ni mawazo tu ambayo nimeona yanaweza yakasaidia watu kuweza kuelewa mambo mengi kwa muda mfupi ambao wanakua mtandaoni badala ya kupiga umbea na kufuatilia story za watu wasio na faida kwenye maisha yao.

@MaxenceMelo

Wazo zuri ila usalama wa wanafunzi siku ya kuchukua cheti upo mashakani
 
huyu naye, vyuo vipo huko mkasome.
Jf ni social forum, na kuna majukwaa tofauti tofauti ili kukidhi mahitaji.
Unaposhangaa watu kujadili stori stori utakuwa wao ndio watakaushangaa wewe, maana kila kitu kina sehemu yake
 
Back
Top Bottom