Jamii forum haikamati freebasic au nakosea wap?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Kila nikiangia freebasic jf naambiwa data charge my apply tatizo ni nini? Msaada wakuu
 
Tumia chrome n.k achana na app yake
 
Hahahaha
Halafu ninavyojuaga freebasic bure sijui ni kwa tigo na voda au tigo pekee yeye anatumia halotel
Mmmh tigo nahisi hawana maana mi natumia tigo but sijawahi ona hiyo kitu
 
Apps ya freebasics inasumbua kuingia Jf kwahyo cha kufanya usiingie kutumia apps ,ingia kwa browser kama chrome,Firefox au operamin kwa kuandika www.0.freebasics.com zitakuja link mbalimbali utaiona hapo Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…