JAMHURI yataja matajiri matapeli Tanzania

Mwitongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2009
Posts
312
Reaction score
362
Gazeti la Jamhuri leo limekuja na orodha ya majina ya matajiri matapeli wa madini Tanzania. Wamo kina Rashid Ntimizi (mtoto wa waziri wa zamami), familia ya Aurora, Roger David Mawelle, Tambwe Moses, Papa Msofe, John ChizumoNaftari Njoree (Mmasai), David Kazibwe na wengine wengi. Wanatapeli wazungu hadi Sh bilioni. ORODHA INATISHA. Wameweka na vielelezo.

Pia wameandika bosi wa masogange kakamatwa na unga kilo 50 nchini Kenya.

Chanzo: Jamhuri la leo.
 
Je yote yanafanyika au kutendeka chini ya chama tawala gani? Waje wakina Lukosi, HAMY-D nk. waeleze kuelewa kwao kwa maswala ya nchi yetu! Ni hayo tu
 
ngoja tulitafute mkuu,huwezi kutuwekea hiyo kopi.

Mkuu ripoti hii ni ndefu sana. Wameandika kurasa nne pamoja na picha za wahusika na vielelezo kibao. Dawa pekee ni kulipata hilo gazeti jamhuri.
 
Gazeti la Jamhuri leo limekuja na orodha ya majina ya matajiri matapeli wa madini Tanzania. Wamo kina Rashid Ntimizi (mtoto wa waziri wa zamami), familia ya Aurora, Roger David Mawelle, Tambwe Moses, Papa Msofe, John ChizumoNaftari Njoree (Mmasai), David Kazibwe na wengine wengi. Wanatapeli wazungu hadi Sh bilioni. ORODHA INATISHA. Wameweka na vielelezo.

Pia wameandika bosi wa masogange kakamatwa na unga kilo 50 nchini Kenya.

Chanzo: Jamhuri la leo.
Kwahiyo mnatutajia majina ya hao ambao hamuwaogopi wale wa sembe mbona mnakuwa bubu huo ni ujanja wa kuhamishia inzi wa unga kwenye madini ili muendelee kupeta
 
Hao Matapeli ndio Wafadhili Wakubwa wa CCM,Unategemea nini hapo?.Cha Msingi ni kujipanga kuitokomeza CCM ili tuanze Upya kujenga misingi ya Maadili katika Nchi.
 
Watutsi utawajua kwa hoja zao!
 
wengi wanajurikana siku nyingi, je polisi wanashindwa kujenga ushahidi juu yao?
 
Je yote yanafanyika au kutendeka chini ya chama tawala gani? Waje wakina Lukosi, HAMY-D nk. waeleze kuelewa kwao kwa maswala ya nchi yetu! Ni hayo tu

kwani utawala ndiyo unafanya mbona mbowe na sugu wanahusika sana acha mawazo yako ya kibavicha.
 
Hao Matapeli ndio Wafadhili Wakubwa wa CCM,Unategemea nini hapo?.Cha Msingi ni kujipanga kuitokomeza CCM ili tuanze Upya kujenga misingi ya Maadili katika Nchi.

chadema ndiyo chama cha kitapeli kuanzia mwenyekiti mpaka bavicha .
 
January Makamba aongezwe kwenye iyo list tafathali.
 
kwani utawala ndiyo unafanya mbona mbowe na sugu wanahusika sana acha mawazo yako ya kibavicha.

hivi nikuulize swali moja.....hivi wewe binadamu kabisa unaishi kama wengine?
 
Tafadhali mtoa mada kama unaweza kuiweka hiyo copy ya hilo gazeti hapa JF, kwani sisi wengine hatupo hapo nchini.
 
Mwenzenu nimeona jina la Aurora likanikumbusha machungu yangu. Walinitapeli ofisini kwao kule Upanga milioni 20,ngazi zote za polisi nilifika(hadi ofisi ya IGP),sikupata msaada wowote,la maana niliona kwenye TV-TBC Aurora mwenyewe(sasa ni marehemu) akiwa na wakuu wa Polisi(siwezi kuwataja) wa kanda maalumu Dar wakifanya shughuli za michezo pamoja!Nikaendelea kushangaa! Nawafahamu watu wengine 2 waliotapeliwa kiasi kama hicho na Aurora na haki haijawahi kutendeka.Wako sahihi JAMHURI,nchi hii ina wenyewe wenye haki!
 
chadema ndiyo chama cha kitapeli kuanzia mwenyekiti mpaka bavicha .

Mmeshindwa kuongoza Nchi mmebaki kuimba nyimbo cha CHADEMA.Nchi Jirani wameamua kuwatenga baada ya kuona hakuna lolote mnalolijua zaidi ya kumaliza Oxgen kwenye Vikao.CCM NI JANGA LA KITAIFA NA KIMATAIFA,TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA.
 
Mwenzenu nimeona jina la Aurora likanikumbusha machungu yangu. Walinitapeli ofisini kwao kule Upanga milioni 20,ngazi zote za polisi nilifika(hadi ofisi ya IGP),sikupata msaada wowote,la maana niliona kwenye TV-TBC Aurora mwenyewe(sasa ni marehemu) akiwa na wakuu wa Polisi(siwezi kuwataja) wa kanda maalumu Dar wakifanya shughuli za michezo pamoja!Nikaendelea kushangaa! Nawafahamu watu wengine 2 waliotapeliwa kiasi kama hicho na Aurora na haki haijawahi kutendeka.Wako sahihi JAMHURI,nchi hii ina wenyewe wenye haki!

Kwa nini huwataji haa jamvini?
Ukweli ni mwanga mkali unafukuza haya majizi kutokomea gizani.
Usipotaja jina la aliyekutapeli hadithi inakuw kama ina walakin.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom