Lete nukuu ata moja katika vitabu hivyo inayokataa maneno ya Quran kuwa mwenye Kumkiri ALLAH ni Muislamu , rahisi kabisa maana naona uelewi
Yaani Omar akatae kuleta kalamu na karatasi ambayo aliomba mtume halafu unanilaumu mimi !!, yaani mtume na maradhi yake mpaka akawatimua halafu unaandika nini wewe, yaani mtume anaomba aandike kitu ambacho Uma wake wakikielewa hawatapotea halafu Omar anapinga , halafu ww unaona sawa !! Kweli mapenzi upofuInawezekana pia najibu maswali ya mtu ambae hana chembe ya uislam, haelewi nguzo za uislam wala za imani, wala haelewi fardhi, fardhi ain wala fardhi kifaya wala sunna wala mambo yanayotengua uislam wa mtu wala sheria za kiislam
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Mbona kuzunguzuka tena lete nukuu inayokataa kuwa mwenye kumkiri ALLAH sio muislamu ? acha mizunguko weweNacheka sana,hili rahisi sana na litafafa usijali,usitafute lalutokea mpaka hili liishe,unakubali hivyo vitabu ni vya mashia na Mashia waa vitau vyao ?
Nani alikwambia kwamba kumkiri Allah pekee na mtume ndio kunamfanya mtu awe muislamu huku ukiwa na itikikadi potofu juu ya Allah na Mtume ?
Sababu naona mada imekuzi na kwa udhaifu wakk na kuoa kazi tafuta sehemu popote uwaulizs Mashia wanizubgumziaje hii Qur'aan.
Kijana umeshindwa kuweka ushahidi wa Mashia kukiri shahada
Nimekwambia lete nukuu inayokwenda kinyume na QURAN , kuwa Mwenye kumkiri ALLAH asiwe Muislamu ? naona hatuelewaniJibh swali nililo kuuliza.
Salaam wakuu
Natambua kabisa kuwa JF iko na utajiri wa wajuvi wa mambo katika kada zote za maisha. Kijana wenu naomba kujuzwa haya machache yanayonitatiza kuhusu muundo wa serikali ya Iran.
Mosi, natambua kuwa Iran ni jamhuri ya Kiislamu, je kiongozi wa kidini wa Iran ana mamlaka kuliko kiongozi wa kisiasa wa Iran(rais)?
Pili, Iran haijawahi kupigana vita na Israel, nini chanzo cha uhasama wake na taifa hilo la Wayahudi (Israel)?
Tatu, Kwa nini Israel haitaki kabisa kuiona Iran ikiwa na ngome imara huko SYRIA?
Hapa hukwepi swali,nionyeshe wapi Mashia wanakiri hilo.Mbona kuzunguzuka tena lete nukuu inayokataa kuwa mwenye kumkiri ALLAH sio muislamu ? acha mizunguko wewe
Acha kupoteza muda. Tumalize la kwanza na ujibu lile swali kisha tuendelee,yaani mimi na vitabu nakupa,vitabu vinavyoelezea maana ya Shahada,kwahiyo hilo litafata baada ya wewe kutuonyesha ya kuwa Mashia wanakiri shahada,wapi umeona hilo.Nimekwambia lete nukuu inayokwenda kinyume na QURAN , kuwa Mwenye kumkiri ALLAH asiwe Muislamu ? naona hatuelewani
Huna jipya endelea kusema hivyo hivyo, wakati angeweza kuongea hata kwa mdomo.then acha kuaminisha umma kuwa mtume alikuwa anataka kuandika kuwa Ali ndio khalifa wa waislam.Yaani Omar akatae kuleta kalamu na karatasi ambayo aliomba mtume halafu unanilaumu mimi !!, yaani mtume na maradhi yake mpaka akawatimua halafu unaandika nini wewe, yaani mtume anaomba aandike kitu ambacho Uma wake wakikielewa hawatapotea halafu Omar anapinga , halafu ww unaona sawa !! Kweli mapenzi upofu
Hahaha wake tabiriwa pepo wapi ..hao wamejitabiria wao wenyewe..history huwa inaandikwa na washindi aiseeYaani watu waliopewa pepo haliyakuwa bado wako hai duniani waje kuiharibu haribu dini ya allah namna hii! Allah ni mjuzi zaidi basi kina abubakar, umar, uthman na ali wasingepewa daraja kubwa kama ingekuwa hivyo!! Maana allaha angewajua mapema!!
Mengine tunavuruganya sisi tu!
NIMEAMUA KWENDA EXTRA MILE JUU YA SWALI LAKO, NAOMBA UPITIE HAPA NA IKIKUPENDEZA WAWEZA FUTA SWALI LAKO PIA
NIMEAMUA KWENDA EXTRA MILE JUU YA SWALI LAKO, NAOMBA UPITIE HAPA NA IKIKUPENDEZA WAWEZA FUTA SWALI LAKO PIA
Acha majibu ya Dharau weweKwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.
Kama hujufatilia na umesema kama visemavyo vyombo vya habri,hilo ni tatizo lako na unatakiwa uanze sasa kufatilia hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaahuruma wapi wewe?
unaonekana mbinafsi.. et "Nimeingia na huruma ya ki elimu"
halafu ulivyokuwa hujuh UMESHINDWA tambua kuwa ndani ya uislamu kuna madhehebu as ukristo ulivyo na madhehebu yake eg.roman Lutheran etc
hao shia wapo ndani ya uislamu.
na itikadi zao zpo different sana na Hawa wa kawaida...ambao ni madhehebu mengine.
na ndiyo sababu kuu ya kuwa against na wenzao..mbona hapa bongo kuna wale wa shia aka wasuni.wao Wana taratibu zao ma ufika mbali ZAIDI hata kuipinga bakwata na Wana umoja wao na Sheria zao..but haijabadilisha wao kuwa waislamu...
kuna propaganda nyingi zinasemwa dhidi ya iran lakini ki uhalisia c za kweli..
ni kama Roman walivyo na itikadi tofauti na walokole na kufikia hatua ya kupingana but haibadilishi maana ya kuwa walkristo...
NI KWELI KABISAWrite your reply...ukiona muislam anang'ang'ana eti sijui washia sio waislamu ujue huyo ni wale wavaa surual fupi a.k.a wahabia,na ukiwa karibu nae huyo ukae nae kwa makini sana,maana hawa ni hardliner,hachelewi kukufyeka kichwa au kujilipua,na huo ndo ujinga walio nao baadhi ya hawa extremist
Naomba unionyeshe dharau niliyoionyesha hapo.Acha majibu ya Dharau wewe
MTU ameuliza vizuri mjibu vizuri ikiwa unafahamu kama hufahamu nyamaza wajibu wengine
Unauliza uliza maswali ili uonekane unajua sana au?
Acha dharau Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me navyojua waislam huwa hawachelewi kuzika kusinge kuwa na ugumu kumzika kwanza mtume halafu waje waendelee na kikao cha madaraka hawa wakina umar na mwenzie abubakr walikuwa na agenda yao na kama mtume angekufa zama hizi ingebid kifo chake kichunguzwe pengine hata hawa jamaa walihusikaKaa chini ufikiri tena vizuri maana naona kama haujafikiria bado.
Maswala ya kugawana mali na kuuacha umma wa kiislam kwa zama hizo ndani ya siku moja tu bila kiongozi ni tatizo kubwa sana.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Kwani mtu anatakiwa kuzikwa na watu wangapi? Au hao waliokuwepo kwenye kumzika hawakutosha?Me navyojua waislam huwa hawachelewi kuzika kusinge kuwa na ugumu kumzika kwanza mtume halafu waje waendelee na kikao cha madaraka hawa wakina umar na mwenzie abubakr walikuwa na agenda yao na kama mtume angekufa zama hizi ingebid kifo chake kichunguzwe pengine hata hawa jamaa walihusika
Sent using Jamii Forums mobile app