Swali dogo kwako: Je kama lingetokea tatizo lolote kwa wakati huo, ni nani angekiwa kiongozi wa umma wa kiislam?
NB:
Katika Uislam hakuna uongozi wa kifalme kama baba yako akifariki, ama kaka yako aliyekuwa ameshika uongozi akifariki wewe unarithi. Au kama ukiwa mtoto wa shekhe na baba yako akifariki we unashika madaraka.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Lakini tena ukamalizia 'ili nikuoneshe alikuwa na maana'ukionesha kuwa unaamini alisema hivyo...hivo vyovyote niweke ushahidi nisiweke wewe umekaa kiuteteaji...yani kama sina ushahidi utanihukumu nikiwa nao utanihukumu na kujaribu kujitetea...kwasababu kama unajua nilichosema ni kweli usingeomba ushahidi ungeenda direct kutetea hojaWeka hapa ushahidi wa kuthibitisha hayo unayosema ili nikueleweshe, nabii Muhammad (S.A.A.W) hakuwa akiongea jambo bila ya kuwa na maana, faida kwayo.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Ndio maana uongozi ndani ya uislam huchaguliwa kwa sifa, lakini katika wote hao kila mmoja alikuwa na sifa zake, nyingine zilikuwa zinawakutanisha wote na nyingine baadhi wanazo katika wao. Ndio maana kiongozi huchaguliwa kutokana na kukubalika na wengi.Hilo swali lako jibu ni debatable kwasababu wakati wa uhai wa mtume Ali na Abu bakr wote wangestahili kwani wote walikuwa na sifa...
Mtume alishasema kama angetokea mtume baada yake angekuwa umar so ingewezekana umar angepewa...lakini pia mtume alimuongelea sana Ali na kumsifia kuwa ni mtu mwenye elimu sana ya dini
Weka nikupe upambanuzi yakinifu.Mbona umeanza kwa kusema 'weka hapa ushahidi' ikionesha kama huamini mtume alisema ivoLakini tena ukamalizia 'ili nikuoneshe alikuwa na maana'ukionesha kuwa unaamini alisema hivyo...hivo vyovyote niweke ushahidi nisiweke wewe umekaa kiuteteaji...yani kama sina ushahidi utanihukumu nikiwa nao utanihukumu na kujaribu kujitetea...kwasababu kama unajua nilichosema ni kweli usingeomba ushahidi ungeenda direct kutetea hoja
Sasa ndo hapo inakuja ishu ya mazishi...ile election ilikuwa unfair mwenzao alikuwa msibani halafu Abu bakr inaonesha alikuwa ameshapania uongozi itakuwa aliunda hata vikundi vya kumpondea Ali na kumsapoti yeye...all in all Abu bakr alikuwa na tamaa ya uongoziNdio maana uongozi ndani ya uislam huchaguliwa kwa sifa, lakini katika wote hao kila mmoja alikuwa na sifa zake, nyingine zilikuwa zinawakutanisha wote na nyingine baadhi wanazo katika wao. Ndio maana kiongozi huchaguliwa kutokana na kukubalika na wengi.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Lengo ni kupata kujua aliyasema hayo katika minajili ili nikuelezee kulingana na hapo alipoyasema hayo, ili nisije kukuongopea kwa kuelezea halo tofauti na hali aliyokuwa akisema maneno hayo.Mbona umeanza kwa kusema 'weka hapa ushahidi' ikionesha kama huamini mtume alisema ivoLakini tena ukamalizia 'ili nikuoneshe alikuwa na maana'ukionesha kuwa unaamini alisema hivyo...hivo vyovyote niweke ushahidi nisiweke wewe umekaa kiuteteaji...yani kama sina ushahidi utanihukumu nikiwa nao utanihukumu na kujaribu kujitetea...kwasababu kama unajua nilichosema ni kweli usingeomba ushahidi ungeenda direct kutetea hoja
Hata hapa kwetu tu kwani watu wakiwa msibani hakuwi na wazee kutoka katika koo mbali ambao kwanza hukaa pamoja? Au wanasubiri kikao cha familia ndio waongee?Sasa ndo hapo inakuja ishu ya mazishi...ile election ilikuwa unfair mwenzao alikuwa msibani halafu Abu bakr inaonesha alikuwa ameshapania uongozi itakuwa aliunda hata vikundi vya kumpondea Ali na kumsapoti yeye...all in all Abu bakr alikuwa na tamaa ya uongozi
The Prophet (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my life is! Were it not for some men amongst the believers who dislike to be left behind me and whom I cannot provide with means of transport, I would certainly never remain behind any Sariya' (army-unit) setting out in Allah's Cause. By Him in Whose Hands my life is! I would love to be martyred in Allah's Cause and then get resurrected and then get martyred, and then get resurrected again and then get martyred and then get resurrected again and then get martyred.Weka nikupe upambanuzi yakinifu.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Hata hapa kwetu tu kwani watu wakiwa msibani hakuwi na wazee kutoka katika koo mbali ambao kwanza hukaa pamoja? Au wanasubiri kikao cha familia ndio waongee?
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Poa.Wee mpumbavu si ueleze ueleweke kama unafaham sio kujimwambafya kijinga kijinga hivyo... Utakuwa muhaya ww kwa misifa hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna history niliipata ..inasema kwamba baada ya so. Called mtume kufa ...uliibuka mtafaruku mkubwa sana baina yao ..kiasi kwamba hata ally wakampiga vita kabisa waziwazi .... Na hata hii Qur'an ambayo inatumika hivi sasa ilichaka chuliwa chaka chuliwa kisha viongozi waliokuwa na ushawishi katika wakati huo wakaamuru ichapwe ile ambayo wanaona Ina maslahi kwa upande wao ....
Je kuna ukweli katika hili ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafungua Uzi siku moja ila nakupa mwangaza kidogo
1.Sababu kubwa ya Suni na shia kutofautiana ni kuhusu successor wa Mtume Mohammad, yaani baada ya mtume kufa nani alistahili kuwa kiongozi wa waislamu , Mashia wanasema ni lazima atoke katika udugu wa mtume lakini Masuni wanasema yeyotew tu , Mashia wamelipinga hili
2.Alipokufa mtume , wakina Omary wakakaa na maswahaba wengine wakamchagua Abubakari kuwa kiongozi , kundi miongoni mwa waislamu likaasi kuwa katu hawamtambui , Abubakar akaingia vitani akapigana nao muda mrefu akazima uasi , lakini wapi watu hawakukubali waliendelea kuasi mpaka leo hawajakubaliana juu hili jambo , hivyo hao waasi ndio wanashabihiana na hawa SHIA wenyewe , kiufupi ni hivyo , nitaandaa nitakuja imwaga hapa siku moja
Huo ni mfano tu niliokutolea, kwani hawa wazee wa kwetu walikuwepo kipindi hicho?Umeona how weak your arguments are....hawa wazee wa kwetu wasitufanye tuache kuangalia dhulma aliyofanyiwa bwana ali
Huyo anajikanyaga tu, anaujua ukweli ila hapa anashupaza shingo.Kwahiyo shia walikuwa ni waasi sivyo!!?
Nitafungua Uzi siku moja ila nakupa mwangaza kidogo
1.Sababu kubwa ya Suni na shia kutofautiana ni kuhusu successor wa Mtume Mohammad, yaani baada ya mtume kufa nani alistahili kuwa kiongozi wa waislamu , Mashia wanasema ni lazima atoke katika udugu wa mtume lakini Masuni wanasema yeyotew tu , Mashia wamelipinga hili
2.Alipokufa mtume , wakina Omary wakakaa na maswahaba wengine wakamchagua Abubakari kuwa kiongozi , kundi miongoni mwa waislamu likaasi kuwa katu hawamtambui , Abubakar akaingia vitani akapigana nao muda mrefu akazima uasi , lakini wapi watu hawakukubali waliendelea kuasi mpaka leo hawajakubaliana juu hili jambo , hivyo hao waasi ndio wanashabihiana na hawa SHIA wenyewe , kiufupi ni hivyo , nitaandaa nitakuja imwaga hapa siku moja
Nimekupuuza, kwani hakuna sehemu mi nimeandika kiingereza. Andika kwa kiswahili, nikujibu kwa kiswahili. Ndicho ninachokielewa.What I'm trying to say ni kwamba wewe uko extremely biased...yani hata mtu aseme Muhammad alisema 'mimi sio mtume' na akaweka ushahidi...wewe hata kama ulikuwa hujui hiko kitu utajipanga tu kutafuta maelezo ya kuzunguka hiyo fact ili umtetee Muhammad... Nevertheless nitaweka hapa iyo hadithThe Prophet (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my life is! Were it not for some men amongst the believers who dislike to be left behind me and whom I cannot provide with means of transport, I would certainly never remain behind any Sariya' (army-unit) setting out in Allah's Cause. By Him in Whose Hands my life is! I would love to be martyred in Allah's Cause and then get resurrected and then get martyred, and then get resurrected again and then get martyred and then get resurrected again and then get martyred.
Basi kumbe mfano wako hauna maanaHuo ni mfano tu niliokutolea, kwani hawa wazee wa kwetu walikuwepo kipindi hicho?
Acha kunicheza shere.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Makaveli kuna watu humu wanaamini uislam ni kama uongozi wa kifalme ndio maana wanashupaza shingo kuwa Ali ndio alitakiwa awe mrithi wa mtume (kwanza uislam hauko hivyo) vile vile mtume mwenyewe alikwisha ongea kuwa Uthman atakuja kuuawa na waliopotoka katika waislam, ila hilo wao hawalioni na bado wanatetea! Allah awaongoe maana watu wanasubiri ilm iwajie badala ya wao kuitafuta ilm.Sasa mzee kwani uislam ni dini ya ukoo!!? Mpaka viongozi wote watoke kwenye ukoo wa mtume ama uislam ni dini ya mtume!?
Kweli hauna maana.Basi kumbe mfano wako hauna maana
Mm nikajua nyumba ya Allah iko mbingu ya saba.Kumbe iko Saudia?Saudi Arabia ni tawi la Marekani , wakati huo huo Marekani ni adui wa Iran, vile vile Saudia ni Masuni awataki Mashia wawe juu , wa Saudia wabinafsi sana wale , wamewakaribisha Makafiri kulinda nyumba takatifu ya ALLAH(Al kaaba ) hiki kitendo Iran anakikataa sana sana sana , vip Nyumba takatifu ya ALLAH ilindwe na wanywa gongo wa Marekani !!! ahaahhaaaahaaa