Jamhuri ya Colombia | República de Colombia

Jamhuri ya Colombia | República de Colombia

Kwa wenye uhitaji wa kufika Colombia, unaweza kuomba Visa kutokea Embassy of Colombia in Kenya au Embassy of Colombia in RSA.

Ubalozi unaopatikana Kenya ni kwa ukanda wa Afrika Mashiriki na Kati.
 
Watanzania wanapatikana huko?
Na wanafanya shughuli gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo! WaTanzania wanapatikana japo kwa uchache na wengi wao tayari wamekwisha jivua uTanzania na wengine ni mchanganyiko.

Wanajishughulisha na shughuli mbalimbali kama Restaurants and Cafeterias holder, wafanyabiashara za kilimo na uchuuzi, wachache zaidi kwa ajiri ya masomo na hasa lugha ya Kihispaniora wengi wao wakiingia kutokea Cuba na US.

Wapo wanaomiliki fukwe na majumba ya Sanaa hasa upande wa Cartagena, Barranquilla na Santa Marta.

Wengine wanaendeleza mikoba ya Pablo Escobar.
 
Unaweza kusafiri kutokea Kilmanjaro to Bogotá via Amsterdam, Sanzibar to Bogotá via Addis Ababa, Sanzibar to Medellín via Madrid, Dar es Salaam to Bogotá via Ankara-Berlin, Johannesburg to Bogotá via San Jose, Addis Ababa to Medellín via London na Sanzibar to Medellín via Dubai.
 
Shukrani kwa makala mkuu, nchi inastawi kwa kasi sana ndio maana imepokea wakimbizi wengi wa kiuchumi kutoka Venezuela.

Ujamaa ni ufukara na umasikini ila uliberali/ubepari ni neema na utajiri mfano mzuri ni Colombia mabepari na Venezuela wajamaa.
Kwan wakati wa Marehem Chavez Venezuela walikua wanatumia mfumo gani wakiutawala navipi hali yao yakimaisha ilikuaje ?!

Kulinganisha nasasa ?!

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom