Jamhuri ya Ajentina | República Argentina

S
Coffees ndo akina nan?
 
Correction: Klabu ya Soccer ya Atletico do Mineiro ni ya Brazil na sio Argentina. Bila shaka ulitaka kuumanisha River Plate CF mahasimu wakubwa wa Boca Juniors CF...
Asante,

Muda mwingine kichwa kinachakata kama kompyuta na kuleta errors.
 
Nilipoenda Argentina,nilienda na vjmbi lá Congo,nikamkamata demu mkali pale Retiro , nilimla kwa fujo😬
Nalog off
 
Mkuu,Kisiasa hujagusia hata kiufupi tu,

Walikuwa na rais mwanamke Christina Fernandes naona sasa hivi yupo Alberto Fernandes vipi hawa wana Uhusiano au majina tu?
 
Mkuu,Kisiasa hujagusia hata kiufupi tu,

Walikuwa na rais mwanamke Christina Fernandes naona sasa hivi yupo Alberto Fernandes vipi hawa wana Uhusiano au majina tu?
Cristina Elisabet Fernández de Kirchner (Mwanamke) na Alberto Fernández (Mwanaume) hawa ni majina tu ya ubini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…