Unatuletea mambo yenu ya CCM na chadema hapa, pole sana inaonyesha umechanganyikiwa sana Senzo hawezi kuishi na mbumbumbu mana anajielewa sana yule jamaaHivi unafahamu senzo ana kadi ya simba na hajarudisha
Huyu Bernad Morison wa Manara siyo yule wa Nugaz, kuna tofauti kubwa Sana. Tuliwaambia, mtamkataa tu.Nilipinga pakubwa ujio wa bernard Morrison Klabuni kwetu, Ona sasa kinahotokea. Muda si mrefu atakuwa anazungumza lugha moja na Ajibu.
Nimependa kumbukumbu zako inaonekana uko makini, Unaonaje tujikumbushe na ile gemu ya mwisho kati ya simba na yanga (4-1)Kweli kabisa tulijaribu kujikumbusha mababu zetu waliishije na waarabu + wazungu enzi izo, kwani unateseka?
Hatuna kiungo mkabaji zaidi ya Fraga, Mzamiru na Mkude hawana kombinationi nzuri walitugharimu sana mechi ya mbilimbili na yanga ni heri wamchezeshe Nyoni kama kiungo mzuiaji kama Fraga hacheziKatika makosa ambayo Simba wanayotakiwa kuyafanyia marekebisho yapo mengi lakini mojawapo ya kosa ambalo limeigharimu Simba na kupoteza mechi ni kufanya faulo mazingira ambayo hayana sababu yakufanya faulo. Kwa mfano leo halukuwa na sababu ya mchezaji wa mtibwa kufanyiwa faulo maeneo Yale coz tayari alikua pembeni sana na uwanja na alkua ashazungukwa na wachezaji watatu na pia beki ilkua isharudi kukaba kwa hyo chance ya mchezaji huyo wa mtibwa kuwavuka hawa mabeki watatu na kuenda kusababisha madhara ilikua ndogo sana tofauti na kuwapa faulo. Mechi na Yanga ilituua faulo, mechi na udisongo tulikufa kwa faulo. Sikuzote timu kubwa huwa zinaumizwa na timu ndogo sana sana kwenye faulo na kona. N muhimu kocha akawaweka vzuri wachezaji wake kuepuka faulo zisizokuwa na sababu. Km faulo ya mzamiru leo ilkua ya kijinga sana
Dera limekupendeza sanaUnatuletea mambo yenu ya CCM na chadema hapa, pole sana inaonyesha umechanganyikiwa sana Senzo hawezi kuishi na mbumbumbu mana anajielewa sana yule jamaa
Inaonekana shule ulikuwa unapenda hesabu, haya hebu sema 4 - 1= ngapi??Nimependa kumbukumbu zako inaonekana uko makini, Unaonaje tujikumbushe na ile gemu ya mwisho kati ya simba na yanga (4-1)
Binafsi sioni kama senzo alikua na impact yeyote pale.Unatuletea mambo yenu ya CCM na chadema hapa, pole sana inaonyesha umechanganyikiwa sana Senzo hawezi kuishi na mbumbumbu mana anajielewa sana yule jamaa
4-1= yanga kafaInaonekana shule ulikuwa unapenda hesabu, haya hebu sema 4 - 1= ngapi??
Viol Unataka achezaje hivyo ikiwa uwanja Ni mbovuKocha bado hawajapata Xl nzuri anazingua,kwanza huu mpira wa pasi ndefu kama yanga simba wametoa wapi,si style yetu ya mchezo
Umeangalia mechi?Huyu Bernad Morison wa Manara siyo yule wa Nugaz, kuna tofauti kubwa Sana. Tuliwaambia, mtamkataa tu.
Basi ulikuwa unafeli sana magazijuto mjuba..4-1= yanga kafa
Hapana sikua na feli sana kama mipango ya yanga ilivyo feli tarehe 12 july mwaka huu pale kwa mkapaBasi ulikuwa unafeli sana magazijuto mjuba..
Usimofokee mkuu, wafokee Mnyelo fc wenzio.Umeangalia mechi?
Au we unataka mpaka mtu afunge?
Tena walipigwa mbele ya Jiwe! Juzi juzi Mbao aliwachapa hapo hapo kwa BenMmh. Hivyo nyie hamjawahi toa sare kwa Mkapa?
Acha July, kuna August, September, October, November, December....Hapana sikua na feli sana kama mipango ya yanga ilivyo feli tarehe 12 july mwaka huu pale kwa mkapa
Refa yupi?*Ukitaka kuona Simba wanachanganyikiwa basi wasikie refa anasema haya "Leo jitahidini mshinde wenyewe kwa jitihada zenu!"*
Na ww nne ulibugizwa wapi?Tena walipigwa mbele ya Jiwe! Juzi juzi Mbao aliwachapa hapo hapo kwa Ben