Jamhuri: Mo Dewji alikuwa na Microchip iliyokuwa ikirekodi kila kitu na kutuma London Uingereza. CIA wanachunguza kimya kimya

Kwa hiyo akiwa faragha anangoroka pia ina record?!
Kama ni hivyo, basi hawa matajiri wana shida wanapokuwa wana-kuch kuch hotae.
Mind you, hawa matajiri wanajua kuwakunja mabinti zetu kwa ma-style ya ajabu ajabu kishenzi. Wewe tajiri ampe demu milioni 5 for just a night kwa kipi alichonacho? Hapo lazima atatumikishwa kama punda ikiwemo hata kuyaliwaza ma-dog yao wanayoyafuga.
Sasa, kama haka ka-chip kanaweza kurekodi, mbona wenye server zao huko London na NY wangekuwa walishatutengenezea video za ngono za matajiri hawa.
 
Hahahahahahahaha
 
Ungekua unajua
Kazi ya microchip
Wala usingeandika hivyo Kutokana na akili yako inavyokutuma unadhani inapiga picha yenyewe..

Jaribu kuwa mfatiliaji katika maswala ya technology ili siku nyingine usitoe mchango wa aibu kama huu

Uko sawa kabisa hujakosea boas,sasa swali la msingi hii chai tuinywe au tuimwage?
 

 

Ameshakuomba na wewe kalio nini dada?
 
Inasikitisha sana kama tasnia ya habari imefikia huku!!! Yani kwa uandishi huo wa kuruka na kurudiarudia mada hilo gazeti lilipaswa kuwashia mkaa. Mtiririko wa story ni mbovu zaidi ya ubovu wenyewe, mbaya zaidi mwandishi hana maarifa juu ya kile anachokielezea! Mbaya kuliko yote ni ninapoona kuna watu wamenunua gazeti hilo na wanalitumia kama chanzo chao cha habari! Watanzania vichwa vyetu vina ubongo au udongo!?
 
kwa hiyo hata ukienda kunya chip inakurusha kwa satellite? Hii habari haijakaa sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…