James Mbatia: Wanaotuzuia kufanya mikutano ndio Magaidi wa Tanzania

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Mwenyekiti wa Nccr mageuzi James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi uliopita amesema wanaowazuia kufanya mkutano ndio Magaidi wa Tanzania

Binafsi nadhani Mbatia amefika mbali, ajaribu kuwa mzalendo!
 
wanaowazuia kufanya mkutano ndio Magaidi wa Tanzania
morganthink.png
 
Mwenyekiti wa Nccr mageuzi James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi uliopita amesema wanaowazuia kufanya mkutano ndio Magaidi wa Tanzania

Binafsi nadhani Mbatia amefika mbali, ajaribu kuwa mzalendo!
Huu ndio uzalendo, kemeeni magaidi hadharani.
Mmeumbuliwa sana na Hamza
 
Unapozuia Wenye mawazo mbadala kujadili hatima ya taifa lao kwa njia za amani public, watatafuta option B kutafuta Haki yao.RIP Hamza.
 
Back
Top Bottom