James Mbatia: Tunatoa pole kwa CCM kuondokewa na kada wao Hamza katika mazingira ya ajabu

Siwapendi CCM lakini hii ni editing ya kiwango cha chini kabisa.
Hapa ni Gerson Msigwa tu ndio anaweza kuamini kuwa ni picha ya kweli na pengine hata kutweet kuwa Polepole atusaidie kujua zaidi kuhusu Hamza.
IMG-20210825-WA0102.jpg
IMG-20210825-WA0101.jpg
 
"Sisi NCCR-Mageuzi tunatoa pole kwa polisi waliouawa juzi, tunatoa pole za dhati kwasababu ni binadamu, wametoa uhai wao. Tunatoa pole kwa familia ya Hamza pia kwasababu huyu ni binadamu, wasiendelee kujenga chuki, tunatoa pole kwa wote, roho za binadamu zilizoondolewa.

Tunatoa pole kwa chama cha Mapinduzi kwa kuwa Hamza alikuwa kada wa chama cha mapinduzi. Si wakubali tu! Unaweza ukawa na watoto, mtoto mwingine hayuko vizuri lakini ni binadamu, kwanini wanakataa Hamza sio mwanachama wao, ni mwanachama wao, ni kweli amefanya tukio hilo wakubali, wajiangalie, wajitazame upya kwanini mambo hayo yanatokea.

Ndio maana sisi tunatoa pole kwa chama cha mapinduzi kwa kuondokewa na kada wao, ndugu Hamza katika mazingira ya ajabu sana"

James Mbatia
Mwenyekiti-NCCR Mageuzi

View attachment 1913833
 

Attachments

  • VID-20210829-WA0005.mp4
    5.4 MB
Back
Top Bottom