GE2025 James Mbatia: Tanzania kwanza mengine baadaye, tuache kiburi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam siku ya Ijumaa, Mbatia amesema kuwa kuna haja ya kujenga maridhiano mapema badala ya kusubiri hali ya sintofahamu itokee au kutafuta lawama baada ya madhara kutokea.

Ametahadharisha kuwa kupotea kwa maisha ya mtu mmoja katika muktadha wa kisiasa ni hasara isiyoweza kurekebishwa, na hivyo ni muhimu kila upande kuwa na utulivu wa fikra na kutumia nafasi iliyopo ya mazungumzo.

Ameeleza kuwa bado kuna nafasi ya kufanya maridhiano ya kweli, ikiwa ni pamoja na kujadili uwezekano wa kusogeza mbele tarehe ya uchaguzi iwapo itahitajika, ili kuhakikisha mazingira ya uchaguzi yanakuwa huru, ya haki, na yenye amani.

Kauli hiyo imekuja wakati ambapo hali ya kisiasa nchini inaendelea kushika kasi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kiraia wakitoa maoni tofauti kuhusu mazingira ya uchaguzi na mustakabali wa demokrasia ya Tanzania.
 
CCM hawataki Reforms wanaogopa kushindwa kwenye chaguzi.

pa
 
UMUHIMU WA HOTUBA HIZI ZIWEKWE KATIKA VIJARIDA VYA KIDIJITALI NDANI YA TOVUTI ZA CHAMA

Tatizo ni kuwa viongozi wa kisiasa Tanzania hawapo karibu na umma ku share mambo makubwa aliyoyasema James Mbatia kwa wakati yanapotendeka. Wanatupa simulizi baada ya muda mrefu usio muafaka kupita.

Ninapendekeza kila kunapofanyika jambo kubwa pia wawe wana upload taarifa kwa umma katika tovuti / website za vyama vyao iwe NCCR - Mageuzi n.k ziwe active kwa kuchapa taarifa kwa umma wenzao ANC website ipo active https://www.anc1912.org.za/ na website za viongozi kama afanyavyo Paul Kagame Speeches – Paul Kagame , Yoweri Kaguta Museveni President Yoweri Kaguta Museveni n.k

Huu utamaduni na destruri za simulizi bila kuhifadhi historia ya masuala mengi ni utamaduni wa kinyimi kutowahusisha wananchi kwa maandiko kupitia tovuti / website tufaidi na kujifunza matukio mbalimbali aliyotusimulia leo kuhusu Uhusika ktk Amani Kenya, vituko na vitimbi vya Msajili wa Vyama, Ziara za Kenya, Zimbabwe n.k

Historia kuwekwa na kuwa uploaded mapema ni muhimu : South African History Online SAHO https://sahistory.org.za/

View: https://m.youtube.com/watch?v=t-Zt4vWNKXA
 
  • Thanks
Reactions: Lax
UMUHIMU WA HOTUBA HIZI ZIWEKWE KATIKA VIJARIDA VYA KIDIJITALI NDANI YA TOVUTI ZA CHAMA

Tatizo ni kuwa viongozi wa kisiasa Tanzania hawapo karibu na umma ku share mambo makubwa aliyoyasema James Mbatia kwa wakati yanapotendeka. Wanatupa simulizi baada ya muda mrefu usio muafaka kupita.

Press Conference hii ya leo tarehe 25 Jukai 2025 ya mheshimiwa James Mbatia iwe up loaded ktk website ya chama au ya kiongozi neno kwa neno ili kuwa rejea kama historia na kuwapa uwezo wanaharakati kufanyia rejea ya kimaandiko

TOKA MAKTABA: TOVUTI YA NCCR- MAGEUZI :

NCCR-Mageuzi MKUTANO NA WANAHABARI TAREHE 14 MEI 2025, JIJINI DAR ES SALAAM​

admin2May 13, 202504 mins
kikao-cha-kamati-no-2.jpg

Ndugu zetu Wanahabari;
Tunawashukuru kwa kufika.
Tumewaalika hapa ilituweze kuwafikia watanzania wenzetu kuhusu utaratibu wetu na msimamo wetu kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, ambapo kampeni zake zitaanza mwezi Agosti mwaka huu, 2025. .. Source: NCCR-Mageuzi MKUTANO NA WANAHABARI TAREHE 14 MEI 2025, JIJINI DAR ES SALAAM – NCCR – Mageuzi
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam siku ya Ijumaa, Mbatia amesema kuwa kuna haja ya kujenga maridhiano mapema badala ya kusubiri hali ya sintofahamu itokee au kutafuta lawama baada ya madhara kutokea.

Ametahadharisha kuwa kupotea kwa maisha ya mtu mmoja katika muktadha wa kisiasa ni hasara isiyoweza kurekebishwa, na hivyo ni muhimu kila upande kuwa na utulivu wa fikra na kutumia nafasi iliyopo ya mazungumzo.

Ameeleza kuwa bado kuna nafasi ya kufanya maridhiano ya kweli, ikiwa ni pamoja na kujadili uwezekano wa kusogeza mbele tarehe ya uchaguzi iwapo itahitajika, ili kuhakikisha mazingira ya uchaguzi yanakuwa huru, ya haki, na yenye amani.

Kauli hiyo imekuja wakati ambapo hali ya kisiasa nchini inaendelea kushika kasi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kiraia wakitoa maoni tofauti kuhusu mazingira ya uchaguzi na mustakabali wa demokrasia ya Tanzania.
Wataibuka woote lakini NRNE imepenya
 
Kwani Mzito Kabwela yeye amesemaje juu ya mwito huu!
 
James. Mbatia, James Delicious na Juma Lokole wote beki hazikabi

Sijui mnaomchukuliaga serious huyu. Mwaka 2020 alitumika na Magufuli, kuna hela alipewa akanunulia nyumba badala ya kupeleka kwenye chama. Mwaka 2020 wakati wa Mkapa altumika kuikandamiza CUF.

HALAFU mwaka 2010 alipewa ubunge wa kuteuliwa na JK.
 
Maridhiano ya nini ?
Wanaovunja
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam siku ya Ijumaa, Mbatia amesema kuwa kuna haja ya kujenga maridhiano mapema badala ya kusubiri hali ya sintofahamu itokee au kutafuta lawama baada ya madhara kutokea.

Ametahadharisha kuwa kupotea kwa maisha ya mtu mmoja katika muktadha wa kisiasa ni hasara isiyoweza kurekebishwa, na hivyo ni muhimu kila upande kuwa na utulivu wa fikra na kutumia nafasi iliyopo ya mazungumzo.

Ameeleza kuwa bado kuna nafasi ya kufanya maridhiano ya kweli, ikiwa ni pamoja na kujadili uwezekano wa kusogeza mbele tarehe ya uchaguzi iwapo itahitajika, ili kuhakikisha mazingira ya uchaguzi yanakuwa huru, ya haki, na yenye amani.

Kauli hiyo imekuja wakati ambapo hali ya kisiasa nchini inaendelea kushika kasi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kiraia wakitoa maoni tofauti kuhusu mazingira ya uchaguzi na mustakabali wa demokrasia ya Tanzan
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam siku ya Ijumaa, Mbatia amesema kuwa kuna haja ya kujenga maridhiano mapema badala ya kusubiri hali ya sintofahamu itokee au kutafuta lawama baada ya madhara kutokea.

Ametahadharisha kuwa kupotea kwa maisha ya mtu mmoja katika muktadha wa kisiasa ni hasara isiyoweza kurekebishwa, na hivyo ni muhimu kila upande kuwa na utulivu wa fikra na kutumia nafasi iliyopo ya mazungumzo.

Ameeleza kuwa bado kuna nafasi ya kufanya maridhiano ya kweli, ikiwa ni pamoja na kujadili uwezekano wa kusogeza mbele tarehe ya uchaguzi iwapo itahitajika, ili kuhakikisha mazingira ya uchaguzi yanakuwa huru, ya haki, na yenye amani.

Kauli hiyo imekuja wakati ambapo hali ya kisiasa nchini inaendelea kushika kasi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kiraia wakitoa maoni tofauti kuhusu mazingira ya uchaguzi na mustakabali wa demokrasia ya Tanzania.
Wee mwandishi ni kanjanja kweli, huyo ni mwenyekiti alisharudishwa na mahakama
 
Ameshinda kesi ya kuondolewa uongozini lakini siyo kiongozi wa NCCR kwa vile lazima uchaguzi ufanyike

Kilichoamuliwa ni kutopewa nafasi ya kujitetea kabla ya uamuzi wa kumvua uanachama na kipoteza nafasi ya kuwa mkiti.

Uamuzi huo hamrejeshei nafasi ya kuwa tena mkiti kwa kuwa alikwishamaliza muda wake ktk nafasi hiyo kwa mujibu wa katiba na chama kilikwishafanya uchaguzi ambao haujalalamikiwa popote.
Lakini hata kama isingekuwa hivyo alisimamishwa na halmashauri kuu uamuzi ambao pia haukuhojiwa popote.

Jambo lililobaki ni uanachama wake. Hilo ataitwa na kupewa hiyo nafasi ya kujieleza kisha kufanya maamuzi ambayo hayatakuwa tofauti na yale ya awali.
 
Ahah shukrani
 
Back
Top Bottom