James Mbatia: Lengo la UKAWA nikuwa na chama Kimoja

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
mbunge wa Vunjo na mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia amezungumzia mkakati wa UKAWA kuwa chama kimoja chenye nguvu…….

Kabla ya kuingia kwenye uchaguzi lengo kuu la UKAWA ilikuwa ni kuwa chama kimoja cha siasa chenye nguvu ambapo mazungumzo bado yanaendelea, mazungumzo yanaendelea kwa vitendo zaidi hata bila maneno, nimesema mtihani mkubwa wabunge kuwa hili moja, wawakilishi mbalimbali lazima kuwe na mahali pa kuonyesha kwa vitendo na ni mtihani mkubwa kwelikweli tumefanikiwa’

Ujue kwamba kila chama cha siasa kimesajiliwa na ndio maana vyama vya siasa vinaendesha majukumu yake kama kawaida lakini yakija mambo ambayo ni ya pamoja tunayajadili kwa pamoja, tunayafanya kwa pamoja, ndni y miezi kutuhukumu namna hii baada ya uchaguzi mnakuwa hamtutendei haki kabisa’;-Mbatia
 
NCCR ishakufa amebaki yeye na wachaga wenzake
 
mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia amezungumzia mkakati wa UKAWA kuwa chama kimoja chenye nguvu
 
Move nzuri hiyo. Wawe makini tu. Mambo ya mwendokasi wawaachie lumumba.
 
Hivi Mbatia ana chama? Kuna watu bado hawajitambui kuwa si mfano katika taifa. Anapoongea anaona kama Ana wanachama hata 100. Kumbe hana. Hata waungane wataunganisha majina si watu. Chadema angalau inaweza changia watu.
Pia, vyama ni ruzuku. Kwa njaa zilivyo kwa sasa sijaona mtu wa kumkubali mwenzake ale yeye anapiga mwayo. Isingekuwa njaa demokrasia hata ya ndani ya vyama ingeongezeka. Miaka 20 mwenyekiti mmoja na wengine wakijitokeza wanafukuzwa.

Watarajie wengi kukimbilia CCM tena maana watashindwa vyama vya kwenda baada ya vurugu.
 
Mkuu unatokwa povu la gongo hadi unatia huruma!
 
Wazo zuri tena mwenyekiti awe Lisu katibu awe Jusa.
 
CHADEMA hawawezi kubali muungano huu uwe rasmi
Lissu hapo lzm atataka awe Mwanasheria Mkuu wa chama
Prof Safari na taaluma yake mara kumi zaidi ya Lissu lkn akashindwa akawa msaidizi wa mtu asiye na elimu kama yake
Ukitaka kukosana na Mbowe na Lissu ni kwenye vyeo
Wazo zuri sana hili la Mbatia lkn CHADEMA hawawezi kubali kugawana vyeo!
 
Wazo zuri sana, ccm wao wanaungana na mrema
Yaani RUZUKU waipotezee?? Hawa watu wenye njaa ambao wanauza hadi vyama hawawezi achia hizo pesa za ruzuku hivyo waache siasa za midomoni. Huyu mzee wa mama Tanzania nae hajitambui kabisa.
 
Hivi Mbatia ana chama? Kuna watu bado hawajitambui kuwa si mfano katika taifa. Anapoongea anaona kama Ana wanachama hata 100. Kumbe hana. Hata waungane wataunganisha majina si watu. Chadema angalau inaweza changia watu.
Pia, vyama ni ruzuku. Kwa njaa zilivyo kwa sasa sijaona mtu wa kumkubali mwenzake ale yeye anapiga mwayo. Isingekuwa njaa demokrasia hata ya ndani ya vyama ingeongezeka. Miaka 20 mwenyekiti mmoja na wengine wakijitokeza wanafukuzwa.

Watarajie wengi kukimbilia CCM tena maana watashindwa vyama vya kwenda baada ya vurugu.
Wewe endelea kuota tuu...Mbatia yuko makini kuliko unavyofikiri.
 
CHADEMA hawawezi kubali muungano huu uwe rasmi
Lissu hapo lzm atataka awe Mwanasheria Mkuu wa chama
Prof Safari na taaluma yake mara kumi zaidi ya Lissu lkn akashindwa akawa msaidizi wa mtu asiye na elimu kama yake
Ukitaka kukosana na Mbowe na Lissu ni kwenye vyeo
Wazo zuri sana hili la Mbatia lkn CHADEMA hawawezi kubali kugawana vyeo!
Hahahaaa malafyale.. Na ninyi c mmetangaza mnaungana na lumumba,.. rudi tu chadema malafyale maana jinsi inavyo nawili na ww ndo unavyokonda kwa kuiombea mabaya... rudi tu gwamyitu
 
Seeeh!
CHADEMA ASILI itarudi CHADEMA na wengi tutarudi
Hii ya wapiga deal hapana maana haina tofauti na CCM
Geofrey Maseta wa hapa Makandana Tukuyu?
 
Kwa wasaka tonge hilo halipo
Maana Mungu mtu atataka awe mwenyekiti yeye tu
 
Back
Top Bottom