James Lembeli naye kurejea CCM?

James Lembeli naye kurejea CCM?

Nashauri wawe kama mtibwa kituo cha kuzalisha wachezaji na timu kubwa kubeba waachane na wanachukuliwa na timu kubwa waendelee kuhamashisha sura mpya (vijana) watakao kuwa na mawazo mbadara
 
Naskia ni yule mzee alie tangaza kustaafu siasa na kisha akakimbilia Canada ambapo alienda kujiongezea alimu na kisha kupata kazi kwenye moja ya supermarket baada ya kuhitimu masomo yake
Sio Huyo Ila aliepokea Mikoba yake
 
Naona mambo yanaiva sasa.

Wale waliokuwa wakipinga ubadhilifu, ufisadi na hujuma mbalimbali katika nchi wanaingia ndani ya CCM ili kumuunga mkono JPM. Kila mtu na nafsi yake.

Mungu ibariki Tanzania
Kama ni maukuma hapo utaahangaa nini
 
WACHA WAHAME...IMEKUWA NI KUHAMA KAMA UNAHAMA NYUMA..
UKIPANGA NYUMBA LAZIMA UTAHAMA
UKIJENGA NYUMBA HUWEZI KUHAMA
 
Back
Top Bottom