Mr. Mangi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2014 Posts 1,512 Reaction score 772 Oct 30, 2014 #1 Hichi kipindi kilichokuwa kinarushwa EATV binafsi nilikuwa nakipenda sana ila sasa sielewi wamepotelea wap? Nawakumbuka kina Mzee wa fiksi, cha uroho hawa wakiwa ni baadhi ya wakali wa kipindi hicho jaman wameenda wap hawa??
Hichi kipindi kilichokuwa kinarushwa EATV binafsi nilikuwa nakipenda sana ila sasa sielewi wamepotelea wap? Nawakumbuka kina Mzee wa fiksi, cha uroho hawa wakiwa ni baadhi ya wakali wa kipindi hicho jaman wameenda wap hawa??
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Oct 30, 2014 #2 Wale wanajuaa..me huwa nawacheck you tube...
Mr. Mangi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2014 Posts 1,512 Reaction score 772 Oct 30, 2014 Thread starter #3 Kim nana said: Wale wanajuaa..me huwa nawacheck you tube... Click to expand... hawa jamaa walikuwa na vitu hadim sana yan ful vichekesho
Kim nana said: Wale wanajuaa..me huwa nawacheck you tube... Click to expand... hawa jamaa walikuwa na vitu hadim sana yan ful vichekesho
tomjelly JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 560 Reaction score 198 Oct 31, 2014 #4 ahahhahaaaahhahhhhah!!! yANI KUWATAJA TU HAO JAMAA burudani, nimecheka sana. kuna v2 navikumbuka yani dah!
ahahhahaaaahhahhhhah!!! yANI KUWATAJA TU HAO JAMAA burudani, nimecheka sana. kuna v2 navikumbuka yani dah!
H Hardman JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 750 Reaction score 526 Oct 31, 2014 #5 Yesu ndo mwisho wa matatizo kale kajamaa haha
Mr. Mangi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2014 Posts 1,512 Reaction score 772 Nov 9, 2014 Thread starter #6 tomjelly said: ahahhahaaaahhahhhhah!!! yANI KUWATAJA TU HAO JAMAA burudani, nimecheka sana. kuna v2 navikumbuka yani dah! Click to expand... yaan hich kipind kilikuwa kinanifanya nacheka kama chiz vile, dah mekimis sana
tomjelly said: ahahhahaaaahhahhhhah!!! yANI KUWATAJA TU HAO JAMAA burudani, nimecheka sana. kuna v2 navikumbuka yani dah! Click to expand... yaan hich kipind kilikuwa kinanifanya nacheka kama chiz vile, dah mekimis sana
Mr. Mangi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2014 Posts 1,512 Reaction score 772 Nov 9, 2014 Thread starter #7 Hardman said: Yesu ndo mwisho wa matatizo kale kajamaa haha Click to expand... mwisho wa matatizo ni mzee wa fiksi na cha uroho huyu anakata matonge makubwa dzain ya tikiti ukimkaribisha umekwishwa
Hardman said: Yesu ndo mwisho wa matatizo kale kajamaa haha Click to expand... mwisho wa matatizo ni mzee wa fiksi na cha uroho huyu anakata matonge makubwa dzain ya tikiti ukimkaribisha umekwishwa