Sijasikia kauli ya Lowasa mpaka muda huu! Au hajapata taarifa?Kuna jambo moja ambalo linaonekana wazi katika haya matukio matatu;
1. Kutekwa kwa Roma mkatoliki
2. Kutolewa bastola hadharani kwa Nape Nnauye
3. Kushambuliwa na risasi kwa Tundu Lisu.
Jambo hilo ni mipangilio ya hovyo (poor organization).
Ukiangalia kwa umakini utaona kwenye matukio yote kunakua na wazo ila hakuna mipangilio iliyonyooka.
☞kwenye tukio la Roma mkatoliki hakukuwa na plan ya ku-manage media fallout, hakukuwa na plan ya nini chakufanya kwa Roma baada ya kumteka, hakukuwa na wazo lolote kama kumteka ni suluhu. Na ilivyokuja kuwa ni kuwa malengo ya kumteka Roma hayakufanikiwa na mwisho ni kama anavyosema Roma. Ripoti ya upelelezi akaiteka mtekaji.
☞Kwa Nape Nnauye- what a disaster?
Choice ya personnel ilikuwa mbovu, mhusika alikuwa na jazba akashindwa kuwa professional, watekelezaji hawakuwa na plan B na wakajichoresha mbele ya Camera. Mwisho wa siku Nape akafanikiwa kufanya press conference aliyokusudia.
Total failure kwa organizer.
☞Kwa Tundu Lisu, au wapigaji hawakuwa professional au mioyo yao haikutamaani kufanya walichofanya. kati ya risasi takribani 30, tano tu zinakuwa on target na hakuna hata moja iliyopiga fatal areas. Yaani 15% ya risasi ndio zililenga target na 0% ilikuwa killer blow.
Wapigaji walikuwa wanajipigia tu bila hata kujua target iko wapi kutokana na tinted iliyokuwepo.
Total failure kwa organizer, Tundu Lisu yuko hai.
Kitu kingine kinachoonekana ni ile hali ya kutokujali. Yani whatever the outcome,don't care. Unaweza kudhani ,au ni ile 5minutes justice iliyosemwa Zanzibar?
Pole sana kamanda Lissu
The world will react
Team Mange kahaba kasema
Na kwake tu, kila goti litapigwaKwa msio amini Mungu yupo sasa muamini
Sijasikia kauli ya Lowasa mpaka muda huu! Au hajapata taarifa?
Na sura yake inaonekana imechoka na criminal-like.
Makubwa
Mda mchacheKuna jambo moja ambalo linaonekana wazi katika haya matukio matatu;