Mnataka msikie mnayoyapenda, yanayowafurahsha tu? Kimsingi hakuna serikali tatu hapa....hata kwa damu
Kufufuka kwa Tanganyika mbona kunakuwa kugumu namna hii jamani?
ushahidi please...
Katika mjadala unaoendelea kumekuwa na malumbano na mabishano kati ya wasemaji, wafuasi na wapigadebe wa ama serikali tatu au serikali mbili. Wachambuzi, kama wapo, ni wachache sana na hata hao wachache hawasemi au hawasikiki. Rai yangu kwenu ni kwamba sisi kama wanazuoni tusijidandie kundi lolote kati ya makundi hayo matatu.
Jukumu na wajibu wetu ni tofauti kabisa. Wajibu wetu ni kuchambua hali halisi bila jazba; na kutokana na uchambuzi wetu kuonesha uzuri na ubaya wa mambo. Sisi wanazuoni nafasi yetu ni kuwa kioo cha jamii, kuonesha jamii uzuri na ubaya wake na kwa vipi na kwa njia gani uzuri unaweza kuimarishwa na ubaya kupunguzwa.
Mnataka msikie mnayoyapenda, yanayowafurahsha tu? Kimsingi hakuna serikali tatu hapa....hata kwa damu
Nampongeza sana mwanasheria makini issa shivji
CHADEMA mbona mnaogopa kivuli chenu?
Heshima ya Prof Shivji haiwezi kushushwa kirahisi namna hiyo
Nani kwa kumlinganisha na shivji kwenye uga wa sheria hapa nchini?
Umemsahau na profesa kulikoyela Kahigi
Mnataka Watanzania wote wawe na maoni kama ya magwanda?
Mwanasheria msomi issa shivji, ngumi jiwe
Mjadala alioendesha Shivji ulilipiwa na CCM,kabla ya mdajala alionekana akiwa katika kikao na viongozi wandamizi wa CCM,mkakati mpya wa CCM kuvuruga mbunge ndani ya wiki mbili zijazo ili Tanganyika huru isipatikane,wanaharakati tumejipanga kufanya mandamano ya kufunga jiji zima.
Ccm wamefanya na wanaendelea kufanya mazindiko ya damu.sasa wanaotaka kuwepo serikali tatu wanapigana kirahisirahisi ndio maana ugumu huu upo.kuleta serikali tatu kunahitaji kuelewa adui anayeing'ang'ania anapiganaje vita hii.
Nani kwa kumlinganisha na shivji kwenye uga wa sheria hapa nchini?
Hivi kweli kuna mwenye akili timamu atampuuza Shivji na kumsikiliza Lisu au Jusa.......
Tatizo la kizazi hiki cha karibuni mnapotaka kuhalalisha hata bangi na mirungi, basi mtazipamba kwa maneno meengi matamu kiasi kwamba hata baadhi ya wazee wenye roho ndogo wanalegea na kufikiri mnajua mnachokiongea.