nenda kaombe samahani kwake ili awe na amani na wewe uwe na amani basi.
kama hujisikii amani mtafute muongee yaishe. ikiwezekana uombe msamaha kwa hali iliyokuwa imetokea. na kama huna feelings nae mwambie ukweli kuwa umeomba msameheane ili uishi bila kinyongo na sio kurudiana. kuwa muwazi kunasaidia kuishi kwa amani na raha
Nilisha futamawasilino yake yote.