- Thread starter
- #21
Ahsante, nitakupa mrejesho wa kikao hichoSawa mkuu, naamini hicho kikao ni kwa nia njema & kwa private schools vinafanyika sana.
Ahsante, nitakupa mrejesho wa kikao hichoSawa mkuu, naamini hicho kikao ni kwa nia njema & kwa private schools vinafanyika sana.
Ndio ipoHivi Alliance wana advance pia?
Ila Bwire (mmiliki wa shule) ajipange maana kama ndio hilo mmmh! awachomeshe wazazi nauli kutoka mbali kwa ajili ya kusikiliza tangazo lake la biashara!!!!!! Wazazi watamchamba kwa gunzi. nitaleta mrejesho Jumatatu kuhusu huo witoGood Technique... Kutafuta wanafunzi wa Kidato cha Tano
mh! Labda!!!!Nadhani wapo strategically hiyo shule maana may be wanataka Watoto wajiunge kidato cha Tano hapo hapo.
Mkuu wewe ni kiona mbali. Ni kweli nimehudhuria mkutano huo.Mnaitwa ili wakaipigie promo shule yao mbele yenu.
Kuna wale walofanya vizuri zaidi watapewa zawadi huku mkishuhudia. Lengo ni kukuza na kuitangaza shule yao kupitia nyie, hii huwa tunaiita "word of mouth marketing" maana mkitoka hapo bila shaka mtakwenda kuitangaza hiyo shule kwa watu wanaowazunguka.
Ushauri: Kwa kuwa mwanao kasha hitimu na uko mbali si muhimu sana kuhudhuria hicho kikao maana hakutokuwa na jipya zaidi ya kukushawishi upeleke mtoto mwingine hapo kwa kuwa shule imefanya vizuri.
Kama mwanao kawa best zaidi ya wenzie mpe support akahudhurie hicho kikao nakuhakikishia hatorudi bila zawadi kwa kile alichokifanya.
Ndivyo biashara inavyokwenda mkuuMkuu wewe ni kiona mbali. Ni kweli nimehudhuria mkutano huo.
Agenda kuu ilikuwa hivi: "Nimetangaza nafasi za pre-form five, wamekuja wanafunzi 120, lakini katika wanafunzi hao ni wawili tu ndio waliomaliza hapa Alliance kwa hiyo wazazi na nyie wanafunzi mliohitimu hapa mwakajana nimewaita mniambie kuna tatizo gani"?
Kumbuka hiyo shule ilifungiwa ndiyo maana walifanyia mtihan shule nyingine so nenda inawezekana kuna kitu
Nilienda, issue kubwa ilikuwa kutangaza nafasi za pre-form five na kutaka kujua kwanini waombaji walikuwa 120 lakini waombaji wawili tu ndio walikuwa wanafunzi wake wengine 118 wametoka shule zingineMkataba wa shule na mwanafunzi unaisha ni pale matokeo yanapotoka