Jambazi amevamia nyumba
akataka kuiba na kuwaua
wenye nyumba...
"Kabla sijawaua nitajieni
kwanza majina yenu"
Mama: naitwa Zaituni jambazi: wewe sikuui kwa
sababu mama yangu
anaitwa Zaituni, enhe na
wewe?
Baba:mimi naitwa Said ila
kazini wananiita Zaituni...