Kuna jambazi limesababisha mauaji ya mkuu wa upelelezi na na skari mmoja pamoja na raia mmoja huku askari mwingine akiwa amejeruhiwa viabaya kifuani,jambazi hilo lilikuwa lina nunua mafuta katika kituo cha mafuta na baadae likageuza kibao na kupora hiling mil 3 pamoja na kusababisah na mauaji hayo.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mtwara Zelothe Steven amethibitisha kuuawa kwa OCDCID wa wilaya ya Newala,askari mmoja na raia mmoja.
Afisa huyo alikutwa na mkasa huo wakati akiwa na askari wenzie katika harakati za kumfuatilia jambazi aliyepora takriban shillingi millioni tatu kwenye kituo cha mafuta.
Big up ndugu jambazi waonyeshe wapuuzi hao kwamba ulinzi sio siasa
Askari with wako main I kuibana chadema tu! ona sasa!
rekebisha kidogo mkuu, ni OC CID, si OCD CID, Apumzike kwa amani,Kamanda wa polisi mkoa wa Mtwara Zelothe Steven amethibitisha kuuawa kwa OCDCID wa wilaya ya Newala,askari mmoja na raia mmoja.