Jambazi ‘kinda’ afunga mtaa

Au dogo kaiba bastora ya baba yake nyumbani kaenda kutafuta pesa ya sikukuu?..
 
Huko Nyakato nako wanaishi wanaume wa Dar??
Mpaka hapo walihitaidi mkuu siumesikia kuwa walimkamata Kwanza alafu akaponyoka wa Dar ata kupiga kelele za mwizi hawaezi polisi wangekuta watu washajikojolea na kupewa taarifa majambazi walikuwa 14
 
Nyakato katika ubora wao..
Kawaponyoka
Kafungua begi lake
Kapiga risasi hewani
Kapanda gari
Kasepa

Nyakato wanaishi wasukuma au wazaramo sikuhizi?? Mods toeni huu Uzi mnaidhalilisha ile jamii ya mtukufu wetu.
 
Sijaelewa yaani midume mizima imeponyokwa na kitoto cha miaka 15 mpaka atoe na bunduki???aibu ilioje hii kwa midume ya mikoani,hako ni kapanya road kamoja tu wakija kumi kama huku mjini si mwanza nzima itafungwa kwa kwa muda usiojulikana!!aibu sana.
 
Huyo dogo nae yani katumia risasi alafu anachukua arobaini tu? anapaswa kutumbuliwa!
Eti bwana..!
Yaani kanishangaza sana.!
Yaani mie ningepata wa kuniazima hako ka mguu ka kuku mngesikia mziki wake!!!
 
Unamaanisha mwaka kesho na wewe unahamia Dodoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…