Jindal Singh JF-Expert Member Joined Sep 9, 2015 Posts 1,857 Reaction score 1,543 May 31, 2017 #1 Salaam wana jukwaa. Mwenzenu nina miaka mingi sana sijasikia habari ya huyu member wa jf a.k.a Transistor yaani sijui yupo hai au vipi naona kimya wala hapatikani hapa katika kuchangia na wala post zake sizioni.
Salaam wana jukwaa. Mwenzenu nina miaka mingi sana sijasikia habari ya huyu member wa jf a.k.a Transistor yaani sijui yupo hai au vipi naona kimya wala hapatikani hapa katika kuchangia na wala post zake sizioni.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,289 Reaction score 72,518 May 31, 2017 #2 Huwezi kujua labda kabadili ID au majukumu yamemzidi
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,714 May 31, 2017 #3 Atakuwa ana ID mpya fuatilia mwandiko wake..!
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,541 Reaction score 18,753 May 31, 2017 #4 Subili anakuja