Chuma Chakavu
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,523
- 655
Mkuu tuko pamoja, yaani huo mtindo wa kuandika hivyo huwa unanikera Sana Na hasa dume likiandika hivyo huwa silijibu nalichukulia Kama punga tu au la namwambia Mimi sielewi lugha ya kishoga!Tena hii nikiona mwanaume anaweka x katika s najiuliza marambili mbili,watoto wakike ndo wanapenda hiyo stahili,namtu akiandika hivyo simjibu kabisa
Mkuu tuko pamoja, yaani huo mtindo wa kuandika hivyo huwa unanikera Sana Na hasa dume likiandika hivyo huwa silijibu nalichukulia Kama punga tu au la namwambia Mimi sielewi lugha ya kishoga!
Imekua kawaida
Yaani kuna wadogo hasa hawa wa shule za kata,we acha tu!! Eti anakuandikia ivi: "habari xa xiku bro,nipige tafu ya kama xhilingi elfu ixhilini ivi"! Halo, huwa nataka kutapika na sms za namna hii huwa nazi-delete na hiyo amount sitoi kwa sababu ya huu uchafuzi wa lugha ya taifa tena wanayofundishwa kila siku.