Mkuu Sisi tunakataza hawa second hand wewe ndio kwanza na pesa unapigwa😂😂nilianzisha mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja na aitelekezwa nikawa namjali sana huduma kila siku baada ya miezi 2 nikaomba penzi...we akasema sawa siku ya mechi kasema nitume hele ya mtu wa kubaki na mtoto nikatuma 20 mpaka leo siku ya 5 yupo kimya na mimi sijamtafuta sasa siku ajichaganye ni 5 na mazoea sitaki
Huyo ni Mke wa Mtu sema akikuona Mshamba Mshamba akaona ngoja akupige hela kwanzanilianzisha mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja na aitelekezwa nikawa namjali sana huduma kila siku baada ya miezi 2 nikaomba penzi...we akasema sawa siku ya mechi kasema nitume hele ya mtu wa kubaki na mtoto nikatuma 20 mpaka leo siku ya 5 yupo kimya na mimi sijamtafuta sasa siku ajichaganye ni 5 na mazoea sitaki
😃 kataa zinaa,mkuu fanya mpango uoenilianzisha mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja na aitelekezwa nikawa namjali sana huduma kila siku baada ya miezi 2 nikaomba penzi...we akasema sawa siku ya mechi kasema nitume hele ya mtu wa kubaki na mtoto nikatuma 20 mpaka leo siku ya 5 yupo kimya na mimi sijamtafuta sasa siku ajichaganye ni 5 na mazoea sitaki
Miezi miwili ana huduma🤣🤣 huu ni mtaji kabisa wa Duka la Mangi😃 kataa zinaa,mkuu fanya mpango uoe
Haya we endelea kuliwa pesa uoe au tukuchangie😃Miezi miwili ana huduma🤣🤣 huu ni mtaji kabisa wa Duka la Mangi
Kwamba single mama amekupiga sio.....kweli kuimba ni kupokezana.nilianzisha mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja na aitelekezwa nikawa namjali sana huduma kila siku baada ya miezi 2 nikaomba penzi...we akasema sawa siku ya mechi kasema nitume hele ya mtu wa kubaki na mtoto nikatuma 20 mpaka leo siku ya 5 yupo kimya na mimi sijamtafuta sasa siku ajichaganye ni 5 na mazoea sitaki
Huyo hata asingekuwa na mtoto angekula tu hiyo hela kwa namna ingine.nilianzisha mahusiano na mdada mwenye mtoto mmoja na aitelekezwa nikawa namjali sana huduma kila siku baada ya miezi 2 nikaomba penzi...we akasema sawa siku ya mechi kasema nitume hele ya mtu wa kubaki na mtoto nikatuma 20 mpaka leo siku ya 5 yupo kimya na mimi sijamtafuta sasa siku ajichaganye ni 5 na mazoea sitaki
Mtoto katumika kuomba pesa. Aliomba pesa ya kumlipa mtu wa kukaa na mtoto wake wakati atakapokuwa kwa kijana.Kwa hiyo alichokifanya hapo kinahusiana vipi na watoto