Jamani wanaume!

Kwe2niKwe2 lakini si haki. Hivi mnajua kama mioyo yetu ni miepesi sana? Kama ni kicheche ndio utake kuonja mchuzi. Ila dah umenichoma moyo maana wengine tuna maradhi ya kupenda na kutendwa

Duh pole sana, inauma lakini ndio mambo yenyewe! Unajua mapenzi ya kweli na matamu ni yale below the age 20, after that ni kufanya timing tu!
 



mhh hebu ona sasa! unaimgia na kutoka.
 
The bonds of friendship, while strong, can be broken by careless action, deeds, words, etc. The truth is, we have probably all, at one time or another, said or done something that lead to the loss of a friend. Hopefully you learned from this and did not lose others to the same mistakes. However, this is not about that, it is about how to repair broken friendship bonds. It is possible to restore a friendship, but just like the restoration of anything worthwhile, it is going to take time, effort, and desire.
Let hilo lijamaa li apologise tu,kupenda ni kupenda yamkini amempenda zaidi ya yule wa Mbeya je?Ndoa iwe imevunjika na yake ndo ianzie hapo!!!!
 
Mengine tena kama yepi?? Labda ukute mwingine anataka freedom halafu umbanie. Lakini kila utakacho nakupatia. Na huyu dada yaonyesha alikuwa bado anampenda jamaa ila jamaa hakuwa mwaminifu hakuweka yote wazi. Mie ningeipata hiyo BNS (Breaking News) ata cjui ningefanyaje. Hivi mkoje???
 

Tatizo kubwa la wasichana wengi wepesi sana kudanganyika.
Na mkiona jamaa ndo anazo mfukoni kama Liumba aaaah basi mtajipelekapeleka wee mpaka anawazunguka wote huku pembeni unadai una mchumba ambae ni spare nae akikushtukia anakumwaga anamtafuta mwingine......
Mtaishia kumegwa na vibabu.
 
mh! ukiona kwako kunaungua kwa mwenzio kunateketea wanaume hawa watatuua ,
hivi kwa nini mko hivi lakini ?siku zote kina dada tunatakiwa tujue wanaume ni selfish sana na wana roho mbaya anakupenda tu kama kuna kitu anataka kwako akishapata basi kwa hiyo tuwe makini ukiingia kichwakichwa utaumia.
huyo dada aachane naye ndo kwanza ana mtoto 1 , asijali mume wako yuko anakuja tena siku akikutana naye hataamini macho yake amuache aende kwani nini bwana.
 


Jeni dia ucpopata hiki utapata kile,inaelekea hujatendwa kabisa, ukitendwa utakuwa na moyo mgumu kidogo.
 

ooh mimi tayari niko booked, na sina mpango wa kumliyumba mdada wa watu,, ila am sure wapo wengi tu hapa

ni kweli, hakuna anyetetea huo ufisadi, amemfisadi dada wa watu period
 
Siku zote penye ukweli uongo hujitenga,sasa hii ukijumlisha papara ndiyo unapotea kichizi kama rafiki yako alivyojichanganya.Unajua katika mahusiano kunahitaji umakini katika kuchagua mtu wa kufunga nae ndoa.Na hiyo ni kutokana na ndoa kuwa ni taasisi nyeti.
 
Mwambie tu huyo shost wako kuna kitu mungu kamuepushia amwombe mungu ampe the right person. Hapo hamna mapenzi ni ulaghai.
 

F80 c wote wanapenda ku-Liumbiwa. Ata wanaume wapo ambao wanapenda kwa sadala. Na utakuwa unajitahidi uwezavyo ili mradi atulie kumbe kama umemtia pili2 anachoropoka utadhani utelezi.
 
Jeni dia ucpopata hiki utapata kile,inaelekea hujatendwa kabisa, ukitendwa utakuwa na moyo mgumu kidogo.

Nyamayao kutendwa nimeshatendwa sana mpaka inafikia stage unaona hao viumbe wa kazi gani.
 
F80 c wote wanapenda ku-Liumbiwa. Ata wanaume wapo ambao wanapenda kwa sadala. Na utakuwa unajitahidi uwezavyo ili mradi atulie kumbe kama umemtia pili2 anachoropoka utadhani utelezi.

Unajua lazima umsome kwanza huyo jamaa ako kwanza siku ya kwanza mkionana lazima uwe mjanja kama nimuoaji utamgundua tu na kama ni tamaa naye utamgundua tu maana mate yanaweza yakawa jamejaa.,,
Ndio wapo wanaume wanashuka sana kwa sadala.
 
hahaha mkuu hii nimeona hapo kwa Jeni anadai na wanaume wanapendana sana kushuka kwa sadala maanake wanapenda vya bure.

Ooooh Kwa Sadala....Thanks, nimeongeza vocabulary
 
Nyamayao kutendwa nimeshatendwa sana mpaka inafikia stage unaona hao viumbe wa kazi gani.

Pole sana.. Je ulishawahi kutenda/kumtenda any? if Yes wewe pia wa kazi gani?

Kosa ni kukubali kumegwa kabla ya kuolewa!.. why umegwe before marriage?...., sometimes binti anahamia kwa men before....

'Dadas ambao hawajamegwa.. Usikubali kumegwa kabla ya kuolewa, hata kama anaetaka kumega ni muoaji..USIMPE'. hii kitu ni special kwa MuMe!
 
Kwanza pole sana kwa huyo mtendwa,

Nadhani huyo dada amtafute huyo mama baby girl ili amweleze mchezo wanaofanyiwa na huyo kiumbe umme. Pengine hata huyo mwenye baby girl hajui kama hilo lijibaba sokwe mtu sasa lina harakati za kuoa tena.

Wanawake mjikomboe wenyewe kwanza. Mweleze huyo mama baby girl yanayoendelea halafu wote mumbwake chini huyo jibaba litajijuu. Achana nalo lisije likakumwagia upupu ukaanza kujikuna.

Usiogope kwamba eti engagement ring na watu, wewe ndo unayeishi. Hao watu wataelewa baadaye nini ulichokikimbia. Huyo jamaa ni mikosi tupu. Ukiamua kuendelea naye basi beba huo msalaba. Ni bora umeona mapema maana ukishaingia huko (ndoa) ni mateso mengine. Mshukuru Mungu amekuonyesha mapema, usisikitike. Futa chozi, simama, nenda mbele. Rudi job. Job ndiye mume wako number 1.

Kwani huyo jamaa yeye nanihii yake ni ya kuchongwa?? utapata nyingine tu.

Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…