ABDUL-LATIF
Member
- Oct 18, 2017
- 8
- 0
Hiki chuo ckielew ubora wake wala ubora wa Koz zake .jaman kwa anaefaham kuhus maritime transportation msaada please
Vp Mr wew umesom dmiNdugu abdul Latif mbona mbishi sana wewe
Chuo hamna hapo nikujitesa kwenu wana hela????
wewe kama zipo nenda
BMT
HIYO KOZI NI YA UNAHODHA WA MELI HAMNA KINGINE
Tatz sio pesa broo ishu uongoz wa chuo upoje ?Ndugu abdul Latif mbona mbishi sana wewe
Chuo hamna hapo nikujitesa kwenu wana hela????
wewe kama zipo nenda
BMT
HIYO KOZI NI YA UNAHODHA WA MELI HAMNA KINGINE
Kasome...Tatz sio pesa broo ishu uongoz wa chuo upoje ?
Siyo kweli mkuu unachokiongeaNdugu abdul Latif mbona mbishi sana wewe
Chuo hamna hapo nikujitesa kwenu wana hela????
wewe kama zipo nenda
BMT
HIYO KOZI NI YA UNAHODHA WA MELI HAMNA KINGINE