Jamani uwiii heslb

fidelis zul zorander

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
685
175
jamani naombeni msaada nilikua najirigister heslb nilipofikia pahali pakusubmit ilinianzekufanya application ikanirudisha mwanzo kabisa na nilipoingiza ile transaction id tena inaniambia already used nifanyaje nakila nikijaribu kulogin na ilepassword inanimbia the username and password is not correct
 
hapana usiachane nao. nenda hatua ya pili ya ku log in user name na password - komalia hapo. maana yake nikuwa ile mpesa imepokelewa na ni wewe kukomaa na page ya user name na password. HESLB ni sumbufu kwa ujumla - haijawahi tokea kitu kama usumbufu uliopo mwaka huu. jaribu asubuhi sana.
 
dah! nimejaribu kinyama nikama masaa 8 tangu igome..nikwamba hata haijaniandikia kwamba niko succecifuly registerd sidhani kama ilepassword itakua inatambulika
 
hizo ni mbinu tu za kuhakikisha hawakupi mkopo. si unajua hazina kweupe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom