Jaman mwenye updates zozote kuhusu ajira za UDOM maana tulifanya interview toka mwezi Desemba. Mpaka leo naona kimya au watu walishaitwa? Msaada please anayefahamu maana ngoja ngoja yaumiza matumbo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.