Jamani twendeni Burundi

Hizo rangi kwakweli mm huwa zinanikosha sana,kwetu huku rangi hizo zimekuwa adimu sana
 
Mbona apo naona mkali mmoja tu mkuu,na apo hatujaona kama ni Mashallahaa, hao wengne kawaida
In short watoto wa kawaida sana hata hapa Bongo wapo zaid ya hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…