Jamani twendeni Burundi

Mbona kawaida sana alafu watu mnashoboka hivyo
 
Hapa PK lazima atutawale tu maana anazo silaha za weapons of mass destruction za wanawake angalia Watanganyika wanavyopagawa wa wadada wa kitussi mtakuwa na uwezo wa kuzuia IT kutoka kule kweli? kama vipicha vya wadada tu karibia mnafika Kileleni kihisia ! !!
 
urembo wa sura tu. ila sijaona hata mrembo wa kuogopa kumwacha na mume wako, ukawa na wasiwasi .
Lakini inafurahisha kumbe Bujumbura bado kuna women of colour??? Huku kwetu wamekua nadra sana
 
Hiyo rwanda mkuu,,watoto wa burundi wakasome kwa wanyaruanda,,huku mtusi kule mhutu,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…