I say this is too serious. Kwanza chopa inaanguka saa kumi na mbili jioni, serikali kupitia waziri wa malia asili anasema chopa ilopoanguka kwa usiku hakuendeki kisa mbungani. Matako yake. CCM must go
Mzee Kingunge alisema chama cha mapinduzi(CCM) kimeishiwa pumzi na hakina uwezo wa kuipeleke nchi hii juu kimaendeleo alikuwa na maana kwamba serikari ya CCM imefika hapo ilipofika BASI.
Leo nilikuwa naongea na Mwalimu mmoja mkuu wa Shule ya Msingi Mjini Dodoma na kunieleza kwamba shule ina watoto/wanafunzi 1600 na madawati shule nzima yapo 200, sasa jamani hataka kama waseme. CCM ebu muone aibu. siwezi kuitaja shule lakini ipo dodoma mjini kabisaa. Na kuongeza hata kadi za kujaza maendeleo ya wafunzi wa darasa la kwanza hazipo huu ni mwaka wa pili.
hiki ndo kitengo cha maafa na majanga tanzania kweli hatujajiandaa kuokoana katika maafa ila tuna the so called kitengo cha maafa na majanga nchini, pamoja na vifaa bora kama hiyo machela mfano tosha tuko makini maana inaonesha imeagizwa toka Marikani
I say this is too serious. Kwanza chopa inaanguka saa kumi na mbili jioni, serikali kupitia waziri wa malia asili anasema chopa ilopoanguka kwa usiku hakuendeki kisa mbungani. Matako yake. CCM must go
Hii picha inawakilisha jinsi CCM isivyo na huruma kwa watanzania yaani wameweza kuwatendea hivi wanaCCM wenzao je kwa sisi wananchi wa kawaida watatutendea vipi? yaani maiti ya mwanaCCM inapakiwa kwenye machela ya miti? mambo haya yalikuwa yakifanyika hapo miaka ya 47 na sio sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.