Mi ni miongoni mwa msikilizaji mkubwa wa redio hii ila kinachonikera sana ni jinsi huyu mtangazaji wenu Masai ! Kila akiendesha kipindi na mtangazaji yeyote yule utamsikia yeye tu anazungumza hampi nafasi mwenzie aongee ! Mwenzie akiongea anampandia juu mazungumzo yake yaani hampi nafasi mwenzie aongee yaani ana-dominate kipindi yeye tu ananikera sana huyu mtangazaji naomba awe yeye tu anaongoze kipindi bila wenzie kuwepo maana nahisi anapenda sifa sana nawaonea huruma sana wenzie maana hawasikiki kabisa !! Nawasilisha naomba uongozi umwangalie maana hatupendi hiyo tabia !!
Yaani akiwa kweye kipindi na mwenzake akiongea anampandia hewani hadi mwenzake ananyamaza maana anaongea hana nukta wala koma ni kububujika maneno tu !