Jamani tindikali zitatumaliza


Ww kula vichwa tuu!hela unazo unaogopa nn?ukimwagiwa si unaenda uk kubadili ngozi.usituletee wataalam feki.shika uzi huohuo
 


pole sana muhadhiri kwa vitisho ulivyopata.ni vizur kusimamia kazi yako ila usiwe unabana sana,haya maisha tu kila mtu mwizi.hata bungeni na wizarani wamo vilaza,japokuwa hawaelewi kitu lakini makaratasi yanaonyesha wana madigrii kibao.acha vijana wagraduate.
 
Naona kunawatu wananipakazia uzinzi hapa. Mimi ni mmoja wa watu waminifu na mcha Mungu. Vile vile mimi nipocommited sana na kaz yangu. i'm also a commited husband siwez fanya hayo mnayopakazia.
 
bora uzivae hiyo kofia ya bodaboda wakumwagie usoni la sivyo hiyo tindikali watakumwagia kwenye zakari yako ushindwe kuongeza watoto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…