MIMI NILIACHAGA VODA UNLIMITED NILIONA HAINA MAANA WANAKUPA UNLIMITED PACKAGE LAKINI SPEED NDOGO AIRTEL NI KIBOKO HATA YALE MASAA YA MCHANA AMBAPO WATU WENGI WANATUMIA INTERNET DOWNLOAD SPEED INAFIKA MPAKA 300Kbps lakini hawana package ya unlimited airtel wakiianzisha package ya unlimited waka charge 45000 kama tigo standard wateja wote wa standard wa tigo watahamia airtel
mie natumia bomba7 kwa wiki moja ni sh. 10,000.
Andika bomba7 tuma 15300
Ni nzuri na ina speed nzuri
Mkuu hiyo bomba7 (tigo) speed inaongezeka kwenye EDGE au inabadilika kuwa WCDMA. Na je ni unlimited au ni bundle ya GB ngapi? Hebu fafanua kidogo.
MIMI NILIACHAGA VODA UNLIMITED NILIONA HAINA MAANA WANAKUPA UNLIMITED PACKAGE LAKINI SPEED NDOGO AIRTEL NI KIBOKO HATA YALE MASAA YA MCHANA AMBAPO WATU WENGI WANATUMIA INTERNET DOWNLOAD SPEED INAFIKA MPAKA 300Kbps lakini hawana package ya unlimited airtel wakiianzisha package ya unlimited waka charge 45000 kama tigo standard wateja wote wa standard wa tigo watahamia airtel
Jamani hii sasa tabu, siku hizi bundle ya wiki moja(unlimited) Voda ukitumia kidogo tu, speed inadrop hadi 20kb/s or less.Kiukweli hii inabore sana yaani bora hata EDGE kweye Airtel. Mimi nina tumia both, airtel kwa ajili ya kazi ndogondogo hasa ninapokuwa nimeuawa(kiuchumi) na Voda kwa kazi inayohitaji matumizi makubwa ya Mbs. Sasa siku hizi nashindwa kufanya shuguli zangu.
Najua Voda mnapita humu, tafadhali jamani hii ni kero. Kama vipi ni afadhali mkawa specific kwamba nikitoa hiyo 10000/= nijue mapata Mbs ngapi nitumie ziishe nijaze tena kuliko kuniunzia mbuzi kwenye gunia halafu nikifika nyumbani nikifungua nakuta mijusi wawili tu! This' not fair.
Isingekuwa bundles za Airtel ni expensive ningekuwa natumia airtel tu, internet yao ni ya uhakika.