kwanza nipokinyume kabisa na hili jambo na ata nguli alipotupa taarifa kuhusu ngurume na kuku kupewa dawa za kuongeza dawa za kurefusha maisha nilikubaliana na wazo lake lakwenda tegeta tukaanzishe kijiji tuishi uko nasema sipati picha kwamba nguruwe na kuku wakipewa hizo dawa watanenepa makalio or mwili mzima ni hivyo tu mkuu sina maana mbaya