Kufa c mwiko JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 756 Reaction score 322 Mar 4, 2014 #21 samilakadunda said: kichwa cha mwenda wazimu? Click to expand... na ni member pale milembe amini usiamini.
samilakadunda said: kichwa cha mwenda wazimu? Click to expand... na ni member pale milembe amini usiamini.
frema120 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 5,098 Reaction score 1,341 Mar 4, 2014 Thread starter #22 Kufa c mwiko said: na ni member pale milembe amini usiamini. Click to expand... cc simbachawene Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ndikwega R I P Joined Feb 1, 2012 Posts 5,979 Reaction score 5,529 Mar 4, 2014 #23 Ukiwa gamba akili huwa unatakiwa kuweka mfukoni,wachache sana wenye kujitambua. Hata huyo Lionchawene watamfuata kumpiga mkwara.
Ukiwa gamba akili huwa unatakiwa kuweka mfukoni,wachache sana wenye kujitambua. Hata huyo Lionchawene watamfuata kumpiga mkwara.
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 27,181 Reaction score 27,781 Mar 5, 2014 #24 frema120 said: Ngoja niseme ya moyoni. Anajua kuongea vizuri kwa sitaa kubwa sanaaa, uelewa sana na busara na anajibu maswali magumu kwa fasaha sanaaaa.... nimemfatilia asb na sasa nimemsikia. Nawasilisha!! Click to expand... 'sitaa' ndio kitu gani? niliposoma heading nikakimbia mbio kusoma, kumbe topic yenyewe haina kichwa wala miguu?
frema120 said: Ngoja niseme ya moyoni. Anajua kuongea vizuri kwa sitaa kubwa sanaaa, uelewa sana na busara na anajibu maswali magumu kwa fasaha sanaaaa.... nimemfatilia asb na sasa nimemsikia. Nawasilisha!! Click to expand... 'sitaa' ndio kitu gani? niliposoma heading nikakimbia mbio kusoma, kumbe topic yenyewe haina kichwa wala miguu?
Wa Mjengoni JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 480 Reaction score 128 Mar 5, 2014 #25 Lionchawene kichwa tatizo huko aliko, sijui kama atajitambua 2015 sisi wapiga kura wake tutamsapoti upande wa pili (kwa makamanda)!
Lionchawene kichwa tatizo huko aliko, sijui kama atajitambua 2015 sisi wapiga kura wake tutamsapoti upande wa pili (kwa makamanda)!
frema120 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 5,098 Reaction score 1,341 Mar 5, 2014 Thread starter #26 tpaul said: 'sitaa' ndio kitu gani? niliposoma heading nikakimbia mbio kusoma, kumbe topic yenyewe haina kichwa wala miguu? Click to expand... Weka miguu na kichwa sas, k.e.n.g.e wewe...
tpaul said: 'sitaa' ndio kitu gani? niliposoma heading nikakimbia mbio kusoma, kumbe topic yenyewe haina kichwa wala miguu? Click to expand... Weka miguu na kichwa sas, k.e.n.g.e wewe...