Jamani sikujua mapenzi mpaka ujipange

Jamani sikujua mapenzi mpaka ujipange

kamati

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
240
Reaction score
109
jamani nina mpenzi wangu ninampenda sana sasa nikamuahid kumpa 50000 at the end of the month sasa kwa bahati mbaya mpaka sasa mishahara bado yaani imefikia mpaka naona aibu kwani nahici kama namdanganya na leo ciku ya nne japo hanidai ila nafsi yangu inanisuta na nina hofu mpenzi wangu ataniona mswahili je nifanyeje kurudisha imani? Na hela cina
 
Mwambie ukweli, kwamba ulitegemea pay lakn hujapata. kama anakupenda hatagomba na ataendelea kusubiri.
 
Mapenzi yanayokosa uhuru mimi yananikera sana..!

Huyo ni mpenzi wako, kwa nini usimweleze ukweli, unaogopa nini?

Kama ana mapenzi na wewe ya dhati atakuelewa..!!
 
Uongo ni kuendelea kuwa kimya...
 
mwambie ukweli asipokuelewa ujue afai uyo kwa raha na shida.
 
jamani nina mpenzi wangu ninampenda sana sasa nikamuahid kumpa 50000 at the end of the month sasa kwa bahati mbaya mpaka sasa mishahara bado yaani imefikia mpaka naona aibu kwani nahici kama namdanganya na leo ciku ya nne japo hanidai ila nafsi yangu inanisuta na nina hofu mpenzi wangu ataniona mswahili je nifanyeje kurudisha imani? Na hela cina

mpe mkono halafu uone atasemaje zaidi soma tena uzi wa Darling-tone nawashangaa..
 
Mliuziana nini? Kama hakuna basi huna sababu ya kujiskia vibaya. Usiweke pesa mbele kwenye mapenzi maana the way ulivyoandika ina maana siku ukimpa pesa ni lazima na wewe upewe mchezo....sio vizuri
 
Km ww ni rijali Kua na sifa ya kiume, na uwe mw'me halisi, mapenz c fedha wala kinga ya mepnz kwn hata asingekua mpz wako shida yake angempa nani, what if km akikosa na anaihitaj kw wakat husika it means mapenz ndo yakua mwisho kwa kua tu we ndo 7b ya yeye kufeli tatizo lake ! Usiwe mtumwa wa kifikra ktk mapenz cha msingi ni kua wazi ktk mahusiano, yawezekana ikawa km ni mtego kwako ili aone ni vp uta play ur part 2ur real love, make sure ur going to be a real man wen u face a such problem lk dat.
 
jamani nina mpenzi wangu ninampenda sana sasa nikamuahid kumpa 50000 at the end of the month sasa kwa bahati mbaya mpaka sasa mishahara bado yaani imefikia mpaka naona aibu kwani nahici kama namdanganya na leo ciku ya nne japo hanidai ila nafsi yangu inanisuta na nina hofu mpenzi wangu ataniona mswahili je nifanyeje kurudisha imani? Na hela cina
Hiyo pesa ni elfu hamsini au laki tano?

Wewe ni kula kulala au unajitegemea?
 
Mwambie nilikuwa nakutania,halafu ndo utajua huyo ni mke au kibaka.
 
Back
Top Bottom