Jamani shamba linauzwa ...

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,006
343
mambo vipi wadau????

Kana shamba zuri sana naliuza wakuu maeneo ya kibada-dar-es-salaam linafaa kwa mengi kama shule n.k.bei tsh 70 milioni.

Naomba kwa wadau wenye uwezo au wanaweza nipatia mteja nitafurahi sana..

Nb: Bei pia inaongeleka kwa mtu aliye serious.

mawasiliano: 0655-126622
...
 
cha msingi ungeweka ukubwa wake na wapi lipo toka barabara kuu na je lina miundombinu gani?
 
Kibada? Hilo litakuwa ndani ya mpango wa kigamboni NEW CITY unless liwe surveyed already - Tupe details mkubwa. Na ninavyojua mimi tayari kumeshafanyika zoezi la utambuzi kwa watu wote wenye nyumba, mashamba na vibanda waliomo ndani ya mradi huu - kila kata majina yameshabandikwa tayari. naomba mwongozo.
 
mambo yale yale ya gezaulole! watu wamenyanganywa mashamba yao yakapimwa viwanja na wenye mashamba wakaambiwa waombe kama kawaida,

hilo lako lina guarantee gani kwamba halitapimwa? kumiliki shamba dar kwa sasa sio dili kabisa
 
mambo yale yale ya gezaulole! Watu wamenyanganywa mashamba yao yakapimwa viwanja na wenye mashamba wakaambiwa waombe kama kawaida,

hilo lako lina guarantee gani kwamba halitapimwa? Kumiliki shamba dar kwa sasa sio dili kabisa

mkubwa hili shamba lina guarantee maana mradi umeishia mkize..tunaweza kwenda ardhi kwa kuthibitisha hili..
 
mkubwa hili shamba lina guarantee maana mradi umeishia mkize..tunaweza kwenda ardhi kwa kuthibitisha hili..

Shamba lina ukubwa gani?
kwa nini hamtoi maelezo ya kutosha?
Huoni kwamba hata ile kukaa unaandika andika kwenye computer kuuliza na kujibu kitu kimoja kimoja inashusha uchumi wa nchi? Unatumia muda mwingi kwenye kitu ambacho ungekimaliza ndani ya muda mfupi.

Shamba ekari 1, 2, 4, 100 ... au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom