sir issame
Member
- Mar 26, 2017
- 7
- 2
Jamani serikali ina mpango gani na ajira za walimu? Msaada wadau maana naona kimya sana.
Sasa wasiwe wanaaahidi vitu ambavyo havitekelezeki kwa wakati huo waloahidiUkiona wako kimya nawewe unapiga kimyaaa.
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app


Wameajiriwa walimu waliokuwa wamebaki yaani walioambiwa watume tena vyeti vyao kwaajili ya ajira ya nyongeza ndo wameajiriwa jana.kuna ajira zimetoka jana za walimu ila nilipoangalia nimeona wamechukua 2015 kurudi nyuma..!!!
Hamuna ajira saizi jiajili mwenyewe
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Hongera, hii degree ya chuo ganiDaaa nimesota kitaaaa mpaka kelo ani naishia kuuza bagia na degree yangu
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
ingia tamisemi mkuu..!!!The End..
Tunaomba link ya hzo ajira
Uliangalia sehemu gani mkuu?kuna ajira zimetoka jana za walimu ila nilipoangalia nimeona wamechukua 2015 kurudi nyuma..!!!