aliisaac1000
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 407
- 272
Jioga we,"Sifa za kijinga ' Mr. Ebbo (rip), atajiju kivyakevyake!
Hivi huyu Rais naye anaogopa kufa, sasa mbona anafanya mambo kama haogopi kufa kwani kufa kutampeleka jehenamu.Unaanzaje kumtishia Rais kifo...?
Wewe ni nani?una mpango gani?
Nyumbu katika ubora wakeHii nchi ni ngumu sana hasa pale baadhi ya chama kujifanya ndo wamepewa mamlaka yote na mungu na kujiona wao ndo wametosha na kuwaona wengine ni kama wahamiaji.. Saa zengine unajilazimisha upende matendo ya mh. Lakini nashindwa kabisa kumkubali kiukweli namchukia sana na utawala wake ..maana umejaa visasi na kukomoana tu...
Jee majangili? Faru John?kweli kabisa tunamtesa binadamu mwenzetu kwa ndoto yake?kwani ndoto ikabaki kuwa ndoto kuna shida gani? Ndio sababu ikaitwa ndoto! Na si uhalisia, kuna wengine walishawahi kuota ndoto wamekuwa matajiri na wakiamka asubuhi wakajikuta hata mlo wa siku moja ni mtihani inamaana wakiujulisha umma kuhusu ndoto zao nao waende jela?jamani tumuogope Mungu haya maisha wote tunapita tu bila kujalisha wewe ni nani katika ulimwengu huuMwachee anyee debe si kajitia ubabe kwa wababe walioshika mpini yeye alifikiri utawala wa JK bado unaendelea... huyu ni ngosha chapa ng'ombe.