Jamani serikali, hivi kweli mbunge Lema yuko Lupango mpaka leo?!

aliisaac1000

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
382
250
Duh! Hivi Mh. Lema kakosa nini kiasi cha kusota lupango mpaka leo? People's Power iwapi na viongozi mlituahidi kuja kwa wingi mahakamani kumtoa mbunge wetu, kama hataachiwa!

Kipi kimewarudisha nyuma makamanda wangu ? Halafu siwaoni viongozi wa kitaifa hata mmoja kuja mahakamani kumpa kampani!, mmemuacha mwenyewe na askari magereza!! Inaniuma sanaa!
 

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
719
1,000
Hii nchi ni ngumu sana hasa pale baadhi ya chama kujifanya ndo wamepewa mamlaka yote na mungu na kujiona wao ndo wametosha na kuwaona wengine ni kama wahamiaji.. Saa zengine unajilazimisha upende matendo ya mh. Lakini nashindwa kabisa kumkubali kiukweli namchukia sana na utawala wake ..maana umejaa visasi na kukomoana tu...
 

shungurui

JF-Expert Member
Sep 1, 2008
3,513
2,000
Unaanzaje kumtishia Rais kifo...?

Wewe ni nani?una mpango gani?
Hivi huyu Rais naye anaogopa kufa, sasa mbona anafanya mambo kama haogopi kufa kwani kufa kutampeleka jehenamu.

Anatakiwa aogope jehenamu zaidi kuliko kufa maana matendo yake yanaonyesha tayari yeye ni mteja wa jehenamu.
 

KING 360

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,981
2,000
Chakujiuliza ni kwnn yy kila cku hamuoni mwenyekiti wake kasoma upepo kaamua kukaa kimya
 

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
8,626
2,000
Ni dhambi kubwa sana kuendelea kumtwanga mateke mtu aliye chini tayari akiwa hoi kwa kuwa tu una nguvu, uwezo na nia ya dhati ya kuthibitisha ubabe wako.
 

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Kauli mbiu ya awamu ya 5 ni kutetea wanyonge, je mnyonge gani anaenufaika na serikali hii? Wahanga wa tetemeko hela kupelekwa kwenye miundo mbinu ikiwa zmechangwa kwa ajiri yao,

Hizo ndege watapanda na wale watu waishio vjjn? Baada kuanza kuwapelekea misaada chakula, umeme na maji unaanza na ndege!

Wanyonge wazid kunyongw na kukaangwa kwa kwa mafuta yao wenyewe!

WOTE KWA PAMOJA TUKUTANE 2020!
 

Facilitator

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,283
2,000
Na kwa dalili zilivyo, kuna uwezekano akala xmas na mwaka mpya nyavuni. Let's watch...
 

nyanzara

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
690
500
Hii nchi ni ngumu sana hasa pale baadhi ya chama kujifanya ndo wamepewa mamlaka yote na mungu na kujiona wao ndo wametosha na kuwaona wengine ni kama wahamiaji.. Saa zengine unajilazimisha upende matendo ya mh. Lakini nashindwa kabisa kumkubali kiukweli namchukia sana na utawala wake ..maana umejaa visasi na kukomoana tu...
Nyumbu katika ubora wake
 

Mauza uza

JF-Expert Member
Jul 24, 2008
2,110
2,000
Mwachee anyee debe si kajitia ubabe kwa wababe walioshika mpini yeye alifikiri utawala wa JK bado unaendelea... huyu ni ngosha chapa ng'ombe.
 

TAU 1

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
494
250
Mwachee anyee debe si kajitia ubabe kwa wababe walioshika mpini yeye alifikiri utawala wa JK bado unaendelea... huyu ni ngosha chapa ng'ombe.
Jee majangili? Faru John?kweli kabisa tunamtesa binadamu mwenzetu kwa ndoto yake?kwani ndoto ikabaki kuwa ndoto kuna shida gani? Ndio sababu ikaitwa ndoto! Na si uhalisia, kuna wengine walishawahi kuota ndoto wamekuwa matajiri na wakiamka asubuhi wakajikuta hata mlo wa siku moja ni mtihani inamaana wakiujulisha umma kuhusu ndoto zao nao waende jela?jamani tumuogope Mungu haya maisha wote tunapita tu bila kujalisha wewe ni nani katika ulimwengu huu
 
Top Bottom