VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
- Thread starter
-
- #41
uwe mkweliJamani Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinatafunwa vilivyo na Makamu Mkuu wa Chuo,Prof.Rwekaza Sympho Mukandara.Kila akienda kwao kwa mapumziko ayatakayo wakati wowote ule(Kagera),hulisafirisha kwenda na kurudi shangingi lake tupu huku yeye akipaa na ndege.Huenda na wapishi wake na walinzi ambao wote hulipiwa na Chuo.Chuo kinadhoofu kwa sababu yake.Ana matumizi mengine mengi mno ya anasa.Huyu mtu hana huruma na fedha za Chuo kabisa....
MODS futa hii comment, sisi tupo hapa kujenga sio kushabikia wizi wa mali za umma, unaposema kila mtu anakula kwa kamba yake hii unatukosea heshima hapa JF, hakuna vibaka hapaWivu tuu unakusumbua hii nchi kila mtu anakula kwenye kamba yake wewe kama huna kamba kula lami
I though wewe kama Associate Professor ulikuja ku-present list ya benefits of which he is entitled....anyway, endeleeni kujivua gamba
Jamani Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinatafunwa vilivyo na Makamu Mkuu wa Chuo,Prof.Rwekaza Sympho Mukandara.Kila akienda kwao kwa mapumziko ayatakayo wakati wowote ule(Kagera),hulisafirisha kwenda na kurudi shangingi lake tupu huku yeye akipaa na ndege.Huenda na wapishi wake na walinzi ambao wote hulipiwa na Chuo.Chuo kinadhoofu kwa sababu yake.Ana matumizi mengine mengi mno ya anasa.Huyu mtu hana huruma na fedha za Chuo kabisa....
Ni ishomire yule,si unajua wahaya wanavyopenda mapompasi.......