VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Wivu tuu unakusumbua hii nchi kila mtu anakula kwenye kamba yake wewe kama huna kamba kula lami
Huyo jamaa nasikia ndiye anayeharibu hata Coet kwa kupachika vibaraka wake kila sehemu.
.....hahaha ha nimependa Avatar yakoWivu tuu unakusumbua hii nchi kila mtu anakula kwenye kamba yake wewe kama huna kamba kula lami
mkuu nakubaliana na wewe huuu ni wivu tuu mbona wengi wanafanya hivyo! KWELI TULE LAMI!Wivu tuu unakusumbua hii nchi kila mtu anakula kwenye kamba yake wewe kama huna kamba kula lami